tag:blogger.com,1999:blog-1346067254361924053.post607079081967459792..comments2024-03-26T12:37:20.769+03:00Comments on UFUNUO: Revelation of Hope: Ukweli Kuhusu Mchungaji Mhando Kuanzisha Kanisa Lake La Wasabato WapentekosteChambi Chachagehttp://www.blogger.com/profile/02179367239458149647noreply@blogger.comBlogger67125tag:blogger.com,1999:blog-1346067254361924053.post-23433636292648527782015-05-18T10:04:45.100+03:002015-05-18T10:04:45.100+03:00Kanisa linakoelekea ni pabaya lord show us a right...Kanisa linakoelekea ni pabaya lord show us a right wayAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1346067254361924053.post-65745648540933683332014-08-24T21:55:07.995+03:002014-08-24T21:55:07.995+03:00What then does the bible mean by saying that all ...What then does the bible mean by saying that all that God created he saw them to be good? does it mean that as Christians we should literally be poor? God called us to be the blessed so that we can bless others. How can we harmonize a powerful, and a rich God with poverty? We should avoid demonizing God's creation. instead, we should struggle hard to have good life here also as a foretaste of the heavenly life. By this I dont mean that we worship wealth. God deserves his position as the sovereign Lord; Is the God who we serve today the same God who Abraham, Isaac and Jacob served? look critically at the lives of these patriarchs, they were the richest people of their time but still what they had could not shake them from being faithful to God. Look at King Solomon. He had not asked God for wealth but God out of His abundance blessed him with manifold. What else can I say? The church leaders should stop plunging their adherents into being mere peasants yet they expect them to support the church financially. Why should we magnify the devil to the point of giving out what belongs to God to the devil?
Wapendwa katika Kristo, umefika wakati ambapo Mungu ananena direct na watu wake na kuwaelekeza. Kama kanisa mpya umeanzishwa na Muhando, chunguzeni polepole ni kwa nini alifanya ivyo. Labda wakubwa wa kanisa kizingiti wamemea pembe na hata wamechukua mahala pa Mungu (wanapinga vyovyote vile hata kama ni kwa mema wa kaniza la mungu). Yesu alisema chumvi ikikosa ladha itatiwa chini watu wakanyage wakitembea mbele. Tutafakari maandiko tukijichunguza wapenwa. Tusisikitike kwa sababu kaniza lingine limeanzishwa, tusikitike kwa sababu hatujitambui na hatutaki kamwe kujichunguza tuone kweli tuko katika Bwana.Jililieni ninyi na watoto wenu....
Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1346067254361924053.post-41028505058714793312013-08-19T10:34:48.346+03:002013-08-19T10:34:48.346+03:00thanks for all that but we should understand that ...thanks for all that but we should understand that the wealth and riches that Christ tells us is the treasure in heaven.so when we insist on the earthly riches then we have a problem.that's y the Adventist church has a different perspective on the prosperity gospel.there is no way you can start your own ministry outside the church and then claim to be together with the church.we must respect the church structure.acts 15,6,9.pls read those chapters.they shows us well the importance of the church structure.nowhere in the bible we read that when you disagree you move out and begin your own ministry.thank u consider prayerfully.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1346067254361924053.post-80419646868530459382012-09-18T10:43:28.884+03:002012-09-18T10:43:28.884+03:00Bwana Yesu asifiwe,mimi nimeokoka naamini sabato n...Bwana Yesu asifiwe,mimi nimeokoka naamini sabato na naitunza ila siabudu kanisa la SDA ,naamini ktk roho mtakatif kama mwalimu wa kweli na naongozwa na roho mtakatifu ndivyo nilivyochangua maisha yangu, na staki kuwa mtu wa dhehebu au dini ila napenda kuwa mtakatifu kama Yesu alivyo mtakatifu, na ndio nautafuta utakatif maana Yesu alisema tafuteni utakatif na sio dini au dhehebu,mi nashauri ndg wasabato turudi kwenye msingi halisi je tunautafuta huo utakatif au udhehebu na dini vitu ambayo havimpeleki mtu mbinguni, ebu ndg wasabato tuamue kuishi maisha matakatif maana inawezekana, ukiamua unaweza, amua leo serious kutubu na kuacha dhambi, alaf mwambie roho mtakatif atusaidie kuishinda dhambi, kitu kama hukipendi unafanya juhudi usikifanye tufanye juhudi kuikataa dhambi , bibilia inasema neema ya Mungu iwaokoayo wanadamu imefunuliwa nayo yatufundisha kukataa tamaa mbaya uovu, kama hutaki kuwa mzinzi lazma uuambie uzinzi nakukataa kwa jina la Yesu serious kabisa unaulaani uzinzi ukuache usije ikosa mbingu. n.k
ila napenda kusema wapo Watu wengi wameokoka wanatunza sabato ila hawataki kuwa SDA bali wanataka kuwa watakatifu.
tusihukumu wapendwa
mbarikiwe sana
by mtakatif wa bwana
Mungu awabariki sanaAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1346067254361924053.post-27929037871897790092011-12-08T20:37:31.024+03:002011-12-08T20:37:31.024+03:00aslaam aleykum.
wapendwa katika bwana! mimi nasali...aslaam aleykum.
wapendwa katika bwana! mimi nasali kanisa la wasabato huku visiwani zanzibar.lakini kuna mama mmoja ambaye kwa kabila ni mpare,huyu mama si mkaazi wa hapa kwetu visiwani lakini yu aja kwa mwanawe ambaye anafanyakazi huku na tena ni mwimbaji.huyu mama inaelezwa hapo awali alikuwa muumini mzuri wa kanisa la mungu la sabato hii ya kawaida tunayoifahamu,lakini mama huyu baadaye alianza kukataa kwenda kanisani akidai mafundisho sio sahihi kabisa! wachungaji waliopo hapa na wale ambao wakati fulani walikuja hapa kwa ajili ya makambi walijaribu kwenda kuzungumza naye lakini wakatopa patupu! mama huyu ama kwa kweli hakuna swali ambalo ataulizwa kuhusu Biblia asilitolee jibu,na hata huo msimamo wake anamudu kuutetea vilivyo hatua ambayo iliwafanya wachungaji kuwaonya waumini wengine kutojadili masuala hayo na mama huyo kwani mimi mwenyewe binafsi niliwahi kwenda kumsalimia na nikajaribu kuongea naye kwa kweli sio mchezo kama usipokuwa makini basi anakuchukua na nilifika wakati nikaona anasema ukweli.

1. mama huyu kwanza anapinga wasabato wanawake kuvaa hereni anasema hakuna sababu.
2. ibada ya pasaka na kuruhusu wanawake kupanda kwenye mimbari. na anasema sio lazima kwa mwanamke kwenda kanisani. kwa kweli ana mambo mengi sana huenda kama hapa kungekuwa na mahali ambapo mtu anaweza kuweka sauti basi ningefanya juu chini nimuhoji ili watu wasikie anachosema. lakini mama huyu bado amesimamia kwenye dini ya usabato na anasema atakufa akiwa msabato ila kanisani kamwe anasema hata kaa ahudhurie sasa naomba maoni yenu ni kitu gani kinamsababisha mama huyu afikie hatua hiyo?Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1346067254361924053.post-1696371555009090852011-12-08T20:27:32.482+03:002011-12-08T20:27:32.482+03:00KUREJEA KWA Pr MHANDO.
ningependa kufahamu zaidi ...KUREJEA KWA Pr MHANDO.

ningependa kufahamu zaidi juu ya kurejea kundini kwa Pastor Mhando,mchungaji ambaye nilipenda siku nikiolewa anifungishe ndoa baada ya kuwa nilitamani mchungaji Onyango funge ndoa yangu lakini aka lala kabla ya mimi kufikia huko mpaka sasa.lakini maisha yake ya kiroho yakoje hivi sasa pamoja na waumini wake?

asante

Aiyalon.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1346067254361924053.post-78845179643079024632010-10-05T18:23:56.993+03:002010-10-05T18:23:56.993+03:00Salaam katika KRISTO YESU,
Naona sasa ni wakati mw...Salaam katika KRISTO YESU,
Naona sasa ni wakati mwafaka kwa wote mliompongeza Pr.Mhando aliporudi nyuma na kuanzisha kanisa lake nanyi mrejee kwa YESU, mbona kwa hamjitokezi kwenye blogi kusema chochote juu ya mtumishi wa Mungu kuamua kumrudia Muumba wake? Au mwaona wivu?Mr.KAZInoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1346067254361924053.post-53998807559659178372009-06-20T20:33:29.572+03:002009-06-20T20:33:29.572+03:00mimi binafsi kutokana na kutokuwa na mawasiliano n...mimi binafsi kutokana na kutokuwa na mawasiliano na kinachoendelea huko kanisani tanzania nimejikuta juzi tu ndipo nazikuta hizi habari na nyingine nyingi tu ktk blog tofauti.
anyway nimesoma maoni mbalimbali napata picha ifuatayo:
-ukifuatilia kwa makini sana mgawanyiko wa madhehebu mbalimbali huwa kwanza unakuwa backed up na echoes za kuleta masahihisho ya mapungufu yanayodaiwa na wahusika kuwepo kwa dehebu mama. kisha huishia na mgongano ambao ni madaraka,kumiliki vyanzo vya mapato,na kumeguka kwa kutoelewana na kutofautiana tena ktk vipengele vya biblia.
kwa msingi huu sitoshangaa kama lengo na hatma ya huduma hii inawezakuwa kwanza kabisa muasisi wake ndiye analijuwa pekee na waliosalia wanashawishiwa kwa nguvu ya hoja ya maandiko na wanajiprove kuwa wako sahihi.sasa kama ni kanisa huru yangu pia ni macho(HEBU JITUPE CHINI KWA MAANA IMEANDIKWA ATAKUAGIZIA MALAIKA WAKE MIKONONI MWAO WATAKUCHUKUWA)

2.MTIZAMO WA PILI:
watu wengi wakiwemo hata viongozi wakubwa wenye nafasi za kutoa maamuzi yanayohusu maisha ya binadamu ktk maisha ya kilasiku,maranyingine wamekuwa wakipata magonjwa kamabinadamu yeyote tu wa kawaida,na baadhi ya magonjwa hayo yakiwemo magonjwa ya akili. na maranyingine kwakuwa inakuwa siyo acute severe condition,na inakuwa ni slow process na kulingana na status zao accademicaly,socialy etc. inakuwa wakati mwingine kuwatambuwa mapema na kuwapa huduma inayostahili ya afya,hadi maamuzi wanayo yatoa yanaishia kuwa na madhara kwa wahanga wao. inakuwa vigumu kutambuliwa na waliomzunguka kuwa ameathirika ubongo kwakuwa huwa wanakuwa na logicalaly constructed ideas na sometime hata utekelezaji waopia unakuwa sawa tu,hii nimeishuhudia mara 2,japo mmoja iliprogress bada ya muda ikawa wazi na akawachizi kabisa na akashindwa hata kuhubiri baada ya kuwa anavua nguo na kutembea peku. wa pili ni prof. na alipogundulika ilibidi awekwe ktk matibabu na huku akapewa mradiflani kuuendesha lakini akifuatiliwa kwa ukaribu sana na waliochini yake na madaktari kuhakikisha kuwa haleti madhara yeyote ktk utekelezaji wa ule mradi.
nalazimika kusema hivi kwa kuwa inapotokea hali hiyo mtu anakuwa ktk halifulani ambayo niyauwezo mkubwa wa ku-convince watu wengine,na hakubali kushindwa hata kama utajitahidi vipi,na akiwa nimsomi utakuwa na shughli pevu.na pia anaweza kukataa hata kwenda kupimwa afya ya ubongo wake pia.
sisemi Dr.muhando anaelekea ku chizi ila watu walio karibu naye naomba wasilifumbie pia hili macho pamoja na kujiunga na kufanya kazi mnayoifanya pamoja pia think about that and if possible jaribuni pia mental health check up. maana kuzunguka unahubiri ktk dunia is an exhausting task mentaly anything can hapen along.
mwisho tuzidi kuombeana maana hayamambo si ya kawaida,watuwengi mashuri wanaanguka bila kutarajia ktk mambo wasiyotegemea.mungu anaweza kumuita mtu kwa huduma nzuri tu lakini shetani anaweza kujichanganya kati akavuruga kilichokusudiwa,hasa kama mtumiwaji asipotambua kuwa yeye ni main target ya yule joka wa zamani.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1346067254361924053.post-28757951608862012132009-03-11T14:14:00.000+03:002009-03-11T14:14:00.000+03:00hi all, Praise be to God Almighty and our Saviour ...hi all, Praise be to God Almighty and our Saviour Jesus Christ..... I love you all.... John 3: 16.
I have picked afew of the info in English.... am now in Uganda..... I need to know the way foward...... What are the sheep doing???? remember that we are all sheep even mhanda and other leader......can we get a coment from Mhando.... and the general conference or the tanzanian conferece????? can I beg for Unity in Christ???
my email is: tourismalumni@gmail.com.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1346067254361924053.post-53532256435667375442009-03-10T19:39:00.000+03:002009-03-10T19:39:00.000+03:00Ndugu wapendwa yatupasa tutambue kuwa Mungu wetu n...Ndugu wapendwa yatupasa tutambue kuwa Mungu wetu ni wa utaratibu.Ikiwa Mungu muumbaji ana utaratibu sembuse sisi viumbe? Kanisa letu lina utaratibu ambao kila muumini anapaswa kuufuata.Sikubaliani na madai ya wanaomtetea Dr. Mhando kwa madai kuwa hajaasi misingi ya kanisa.Suala la kujitenga kwa namna yeyote ni uasi dhidi ya Kanisa Mungu pia.Tumsaidie Mhando na wafuasi wake watubu warudi kanisani sio kutetea anachofanya.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1346067254361924053.post-42949461690397170432009-02-25T11:44:00.000+03:002009-02-25T11:44:00.000+03:00NDUGU NA WAPENDWA WANGU MAHALI KOTE MULIPO, NINA W...NDUGU NA WAPENDWA WANGU MAHALI KOTE MULIPO, NINA WASALIMU SANA KATIKA JINA LA BWANA WETU YESU KRISTO.
NIMETOKA KUSOMA MAONI MBALI MBALI KUHUSU JAMBO LA MUHUBIRI WA KIMATAIFA DR MUHANDO. MIMI NINA ANDIKA TOKA SEHEMU ZA MASHARIKI YA CONGO, MJINI LUBUMBASHI. NINA MJUWA DR MUHANDO KUPITIA MKUTANO MKUU WA INJILI ALIO ENDESHA HAPA. WAZO LANGU NI KWAMBA, VIONGOZI WETU WA NGAZI YA JUU YA KANISA, WALI CHUKUWA HATUA ZA HARAKA WAKATI AMBAPO WALIPASHWA KUMU ALIKA MCHUNGAJI MUHANDO KWA MAZUNGUMZO NA MASHAURI. ILIBIDI WAMUSIKILIZE ANA KUWA NA UJUMBE GANI. HAIFAI KUTUPIA TU MBALI MAFUNDISHO ANAYO YALETA AMBAYO INAFANANA KUWA MAPYA NA SI MAPYA KWA SABABU INA KUWA NA MSINGI WAKE KATIKA BIBLIA TAKATIFU. ADMINSTATION YA KANISA LEO INAKUWA NA UZAIFU AMBAO HAIPENDI KUKUBALI: WANA SIKIA MATETEZI NA KUJULISHWA VIZURI, LAKINI WANA PITISHA TU MUDA BILA CHUNGUZA NA KUMALIZA JAMBO WALILO LISIKIA. SASA WANA KUMBUKA TU WAKATI MAMBO YANA ZOROTIKA VIBAYA SANA. SI NI VIZURI KU KINGA KULIKO KUPONYA?Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1346067254361924053.post-23607687337248361452009-02-22T22:14:00.000+03:002009-02-22T22:14:00.000+03:00Hi everywhere? It was wonderful to me when I saw e...Hi everywhere? It was wonderful to me when I saw everyone standing and condemning Dr. Henry Mhando. For a time now, I have been watching hat a kind of church are we. We do not like changes, we think that we are the only church which will inherit the kingdom. We dont know that the church will never enter the kingdom, but only and only those who adheres to the commandments of God and His faith.

The departure of Dr. Mhando and many subdivisions we see in the church is being operated by the top leaders.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1346067254361924053.post-56891856052158287972009-01-30T18:03:00.000+03:002009-01-30T18:03:00.000+03:00anoy hapo juu napenda tu kusema kwamba swala la ku...anoy hapo juu napenda tu kusema kwamba swala la kuhubiri watoto wa mhando, haimaanishi watoto wake wa kuwazaa ni wale aliwafundisha uinjilist au kwa lugha nyingine wale wapo nae kwenye hii huduma ndo watoto wake.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1346067254361924053.post-39305941064589986862009-01-29T03:19:00.000+03:002009-01-29T03:19:00.000+03:00Swali kwa Muinjilisti au mwenye jibu. Niliposoma m...Swali kwa Muinjilisti au mwenye jibu. Niliposoma majira kuna kipengele kimevuta usomaji wangu kuhusu hii ministry kuwa ni ya Mhando na kwamba hana mpango wakufa ila kama ikitokea hivyo watoto wake wapo wataendeleza. Inamana hili ni kanisa/ministry mali ya familia ya Mhando au mwandishi wa majira ameongeza hili swali na jibu lake au ni uelevu wangu mdogo? Naomba kueleweswa kwa mwenye jibu sahihi, japo ninadhani makao makuu ya hili kanisa ni Dar, je kumeshakuwa na makundi sehemu nyingine yeyote duniani au kwasababu ndio limeanza halijawa na makundi. Je kuna mpango wa kufungua makundi au makanisa mengine ya ministry hii au la? nimeuliza hayo maana majira imesema kuwa ni yeye tu Pr. Mhando atakaye hubiri sikuzote hii inakuaje? inamana hamna mwingine anayeweza kuhubiri au Mhando amekataza maana ndio policy ya hiyo ministry yake, au ndio hiyo habari ya kuwa Kanisa la familia ya Mhando so siku asipokuwepo labda ata-appoint mwanae ahubiri onbehaf, au ndo zile za kuwekewa tape za Mhando asipokuwapo?

Mimi ni Mtaka Kujua sipendi malumbanoAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1346067254361924053.post-76509532300830111542009-01-29T03:03:00.000+03:002009-01-29T03:03:00.000+03:00Chambi au mtu yeyote mwenye jibu. Nimesikia Dr. Ms...Chambi au mtu yeyote mwenye jibu. Nimesikia Dr. Msafiri wa Kanisa la Mwenge pia amejiunga na sect. ya Dr. Mhando, je ni kweli?Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1346067254361924053.post-39736670655545624402009-01-19T09:34:00.000+03:002009-01-19T09:34:00.000+03:00Ningependa kujua viongozi wa kanisa la wasabato wa...Ningependa kujua viongozi wa kanisa la wasabato waliojiunga na kanisa la Mhando?Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1346067254361924053.post-10266710191927781912009-01-18T07:48:00.000+03:002009-01-18T07:48:00.000+03:00Kwa Mdau Anonymous wa January 16, 2009 5:55 AM Mi...Kwa Mdau Anonymous wa January 16, 2009 5:55 AM

Mimi nimekuwa nafuatilia mjadala huu na nimejaribu kusema swala moja liwekwe pembeni hili la Ellen White naona kidoo tunaelea nalo. Nina maswali ya kizushi!
1. Hao wasiokuwa SDA wote wataenda motoni? Yaani, wale walioishi kabla ya uanzilishi wa SDA wote kwa moto?
2. Kuimba na kuchezambele za Mungu ni dhambi.

Heri sisi tusiojua mengi kwa maana hukumu yetu ni nyepesi.

MdauAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1346067254361924053.post-745374148365117242009-01-18T00:03:00.000+03:002009-01-18T00:03:00.000+03:00How is the mchanganyiko wa imani taken care of in ...How is the mchanganyiko wa imani taken care of in this church? Mfano wanakuja watu wanaokula na kunywa vitu ambavyo kwa washiriki wengine ni najisi, hapo inakuwaje? Au ndio "kiingiacho mwilini hakidhuru bali kitokacho mdomoni?"Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1346067254361924053.post-59098847294942676762009-01-17T10:20:00.000+03:002009-01-17T10:20:00.000+03:00Dear Brethrens, For the sake of the Truth in Chris...Dear Brethrens,
For the sake of the Truth in Christ we ‘interpolate’ in the Bible and do not extrapolate from nowhere!…
Just to give outlines of the ministry, we can categorize ministries into two groups
1. Church organized ministries:
In this category, church will organize and plan for the ministry, these include; Stewardship & Development ministries, Youth & Education, etc. This kind of ministry is based on the church organization.
2. Personal call ministry
Liturgical Ministries (e.g. music ministries), Social Outreach, etc

Ministry is a special service that provides spiritual growth. It is a call from God himself, whether as a church organized ministry or a call to a person himself.
Unless we are ready to hear the voice of God, we will understand His call in us. Each of us has a call of God.
Everyone has a special call in a special way. Chambi has this web blog ministry (is it?) where we can communicate and learn. God can transform any knowledge into a ministry service. The following are examples of special calls:
1. Encouraging people,
2. visiting sick in hospitals, or those in jails, or in problems, or orphans, or street kids, etc.
3. Using tracks to bring people to Jesus
4. Songs (quartets),
5. smiling face,
6. speaking tones,
7. laughter, etc.

Jesus Himself had a ministry, John the Baptist, Paul and others are examples. Mwinjilist or desk of evangelists can explain more or otherwise,
Mdau na MchungajiAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1346067254361924053.post-76502774217801687002009-01-17T00:55:00.000+03:002009-01-17T00:55:00.000+03:00Ukishaona watu wanapambana na wale wanaosoma neno ...Ukishaona watu wanapambana na wale wanaosoma neno la Mungu kwa mpangilio badala ya kuwashauri wale wasiosoma wasome,
Ukishaona watu wanaelekeza vita yao kwa Ellen White na Biblia hakuna haja ya kusubiria muujiza utendeke! Ni wazi kabisa roho hiyo inayopiga vita lesoni na Roho ya unabii. Kujifanya kuwa waninua Biblia ni kutufunga macho! Hamtanishawishi kwa lolote ng'o. Wako watu wengi hawasomi neno la Mungu, wengi hawana mda wa kusoma Biblia, halafu hawa wenyewe wanawapeleka kwengine wakijua kuwa lessoni itawaumbua, kama mnabisha someni lesoni ya wiki hii na kota hii. Mama White ndio anawafichua kabisa! Niulize Swali hivi mnafikiri mtaliyumbisha kanisa la Mungu? Ninyi kwanza mnasema Biblia halafu hata hiyo biblia hamuitii, ni kilemba cha ukoka. Biblia ndio imewaambia kuwa mkicheza disko kanisani ndipo ibada yenu itakubalika? Sasa nawapa fungu la Biblia Mnayodai manitaka:
1. Mathayo 4.8 "Kwa mara nyingine shetani akamchukua Yesu mpaka kwenye kilele cha mlima mrefu akamwonyesha milki zote za dunia na fahari zake, 9kisha akamwambia, ``Nitakupa hivi vyote kama ukipiga magoti na kuniabudu.''" Huyu ni shetani anamjaribu Yesu. Swali ninani anyetangaza leo ibada inayoambatana na fahari za utajirisho?
2. Mathayo 6.7,8 "`Mnaposali msirudie maneno yale yale kama wafanyavyo watu wa mataifa wasiomjua Mungu. Kwa maana wao hudhani kwamba watasi kilizwa kwa sababu ya wingi wa maneno yao. 8Msiwe kama wao, kwa sababu Baba yenu anajua mahitaji yenu hata kabla hamjaomba." Swali ni nani leo anaingiza ibada ya kupampayukia Mungu muda mrefu kama vile hajui hitaji letu. Je Mungu wetu amegeuzwa kuwa mchezo? Mimi ninavyoelewa ni manabii wa baali ndio eliya aliwakebehi kuwa pazeni sauti huenda amelala!
3. Matahyo 6.24 "Hakuna mtu anayeweza kuwatumikia mabwana wawili, kwa sababu, ama atamchukia mmoja na kumpenda mwingine, au atamthamini mmoja na kumdharau mwingine. Huwezi kumtumikia Mungu na mali.''" Swali langu ni nani leo anayeshauri watu watumikie mabwana wawili?
4. Matahyo 6.33, "Lakini uta futeni kwanza Ufalme wa mbinguni na haki yake, na haya yote mtaongezewa." Swali langu, ni nani leo anayewashauri watu watafute mali na ufalme nafasi ya pili?
5. Matahyo 7.21-23, "`Si kila mtu anayesema, `Bwana, Bwana,' ambaye ataingia katika Ufalme wa mbinguni ila ni wale wanaofanya mapenzi ya Baba yangu aliye mbinguni. 22Siku ile itakapofika wengi wata niambia, `Bwana, Bwana, hatukutoa unabii na kufukuza pepo kwa jina lako; na kufanya miujiza mingi ya ajabu kwa jina lako?' 23Ndipo nitawaambia wazi, `Sikuwafahamu kamwe. Ondokeni kwangu ninyi watenda maovu!'" Swali langu, ni nani leo anayetumia muujiza kama kigezo cha ukubali wa Mungu?
6. Mathayo Matayo 12.30 "`Mtu asiyekuwa pamoja nami ananipinga; na mtu ambaye hakusanyi pamoja nami, anatawanya." Swali ninani anayetawanya kondoo wa Yesu, kwa kuasi umoja wa kanisa? Ni wazi, Yesu alisema ni mbwa mwitu!
7.Mawazo ya binadamu siku zote hayafiki mbali. Petro alimpinga Yesu asiende msalabani wakati uhai wake wa milele unategemea kifo cha Yesu Msalabani. Petro na mwenzake Yuda walitegemea Yesu awe mfalme wa Yudea, wakati mawazo ya Mungu ni ufalme wa umilele. akina petro wa leo wanaangalia malipo ya hapo ili wasahau ya milele! Matayo 16.21-26 21Tangu wakati huo Yesu alianza kuwaeleza wanafunzi wake kwamba hana budi kwenda Yerusalemu na kupata mateso mengi kutoka kwa wazee, makuhani wakuu na walimu wa sheria; na kwamba atauawa na siku ya tatu atafufuliwa.

22Petro akamchukua kando akaanza kumkemea akamwambia, ``Mungu apishie hayo mbali! Jambo hili halitakupata kamwe!'' 23Lakini Yesu akageuka akamwambia Petro , ``Toka mbele yangu, Shetani! Wewe ni kikwazo kwangu. Mawazo hayo si ya Mungu bali ya binadamu.''

24Ndipo Yesu akawaambia wanafunzi wake, ``Mtu akitaka kuni fuata, ni lazima ajikane mwenyewe na achukue msalaba wake, anifu ate. 25Kwa maana mtu akitaka kuokoa nafsi yake, ataipoteza; lakini mtu atakayeipoteza nafsi yake kwa ajili yangu, ataipata tena.

26``Kwa maana mtu atapata faida gani akiupata ulimwengu wote lakini akaipoteza nafsi yake? Au mtu atabadilisha nini na nafsi yake? 27Kwa maana mimi Mwana wa Adamu nitakuja katika utukufu wa Baba yangu pamoja na malaika wangu na nitamlipa kila mtu kwa kadiri ya matendo yake."
8. Mathayo 24.10-11 "10Wakati huo, wengi wataacha imani yao, watasalitiana na kuchukiana, 11na watatokea manabii wengi wa uongo ambao watawapotosha watu" Swali nani anayeacha imani leo, na kusaliti, na kufanya ishara za uongo ili kupotosha watu?
9.Mathayo 24.24,25 - "24Kwa maana watatokea makristo na manabii wa uongo na watafanya ishara za ajabu na miujiza mingi ili kuwadanganya, hata ikiwezekana, wateule wa Mungu. 25Angalieni, nawatahadharisha mapema." Ni nani leo nafanya ishara na maajabu ili kuwapoteza yumkin hata wateule?
10. Siku hizi za mwisho, kuna watu wawili wanowakilisha watumishi siku za mwisho. Wanaolisha watu neno la Mungu na wanoingia celebration movement, kwa kushiriki kumbi za disko eti kwa vile Yesu amechelewa, na kuwapiga ndugu kwa fimbo za lawama: Mathayo 25.45-51" 45``Basi, ni nani mtumishi mwaminifu ambaye bwana wake amemweka awe msimamizi wa watumishi wengine nyumbani kwake, awape posho yao kwa wakati wake? 46Heri mtumishi ambaye atakapokuja bwana wake atamkuta anafanya hivyo. 47Nawaambieni kweli, atam fanya mtumishi huyo asimamie mali yake yote.

48``Lakini kama mtumishi huyo ni mwovu atasema moyoni mwake, `Bwana wangu hatarudi kwa muda mrefu,' 49na ataanza kuwapiga watumishi wenzake na kula na kunywa na walevi. 50Bwana wake atakuja wakati ambapo mtumishi huyo hamtazamii na saa ambayo haijui. 51Ndipo atamwadhibu huyo mtumishi na kumweka katika kundi la wanafiki; huko kutakuwa na kilio na kusaga meno.''" Je, Ni nani leo mwenye mwelekeo wa kujichanganya na dunia katika kudhihaki utakatifu wa ibada kwa disko?
Kwa leo naishia hapa, ila ninawaasa ndugu, mumtafute Mungu ili awafunulie HILI!
Mdau shambani mwa Bwana.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1346067254361924053.post-76275245635742100672009-01-16T16:55:00.000+03:002009-01-16T16:55:00.000+03:00Mwinjilisti,I still have a problem with your sect/...Mwinjilisti,

I still have a problem with your sect/ministry/church. People come to you with the hope of getting rich as their first priority, salvation is somewhere down the list. Please strive to convince me otherwise.

Someone also asked up there which church you belong to since you said you are just a ministry. Also the dangers of confusion in faith (since people to your congregation come from different churches and background) arises and it has been asked how you counter this. Please extrapolate...

Mdau.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1346067254361924053.post-24886361589499843892009-01-16T16:54:00.000+03:002009-01-16T16:54:00.000+03:00Dear brethren,I tend to agree with anonym from CAN...Dear brethren,
I tend to agree with anonym from CANADA. As far as I am concerned, White’s writings are not a replacement of the Bible. Our standard for doctrine is the Bible only and we must base in the word of God.
White in her own words "Although I am as dependent upon the Spirit of the Lord in writing my views as I am in receiving them, yet the words I employ in describing what I have seen are my own." EGW, Selected Messages, 3 bks. (Washington: RHPA, 1958¬58¬80), bk. l, p. 37.
For the sake of the truth, let us focus in the BIBLE.
thanxAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1346067254361924053.post-48673802942785467312009-01-16T12:33:00.000+03:002009-01-16T12:33:00.000+03:00Ndugu wapendwa, Imani ya Yesu iwe nasi sote.Kwa sa...Ndugu wapendwa, Imani ya Yesu iwe nasi sote.
Kwa sababu zilizokuwa nje ya uwezo wetu hatukuwa kwenye mtandao. Tunafurahi kuwakaribisha wale walioko Dar es Salaam kuhudhuria kanisani kwetu jumamosi kesho kwa ibada ya pamoja. Ni mapenzi yetu kwenu mje muone jinsi maombi na ibada kwa ujumla inavyoendeshwa.
Kuhusu swala la kuja Mwanza, ndugu msomaji imeandikwa Mathayo 28:19-20 "basi enendeni mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi mkiwabatiza kwa jina la Baba na la Mwana na la Roho mtakatifu na kuwafundisha kuyashika yote niliyo waamuru ninyi na tazama mimi nipo pamoja nanyi siku zote hata ukamilifu wa dahari."
Imeandikwa Mathayo 24:14 "Tena habari njema ya ufalme itahubiriwa katika ulimwengu wote kuwa ushuhuda kwa mataifa yote hapo ndipo ule mwisho utakapokuja."
imeandikwa Isaya 60:1 "Ondoka ukaangaze kwakuwa nuru yako imekujia na utukufu wa Bwana umekuzunguka. Imeandikwa Isaya 61:1 " Roho ya Bwana Mungu I juu yangu kwa sababu Bwana amenitia mafuta ni wahubiri wanyenyekevu habari njema amenituma ili kuwaganga waliovunjika moyo kuwatangazia mateka uhuru wao na hao walio fungwa habari ya kufunguliwa kwao."
Kwa mafungu hayo, ninapenda kuwahakikishia kuwa katika kristo tumeisha fika Mwanza, wapo wapendwa ambao wanaendesha ibada zao majumbani mwao kwa imani kuu ya kikristo. Pia wapo wanaohudhuria katika makanisa mbalimbali kwa vile Mungu anayeona ndani ya mioyo yetu ameisha wachagua kuwa wajumbe wake popote walipo.
Imani ya Yesu iwe nanyi daima.

Email address: uponyaji_utajirisho@yahoo.com
From the desk of evangelistsAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1346067254361924053.post-37603401407039838762009-01-16T07:25:00.000+03:002009-01-16T07:25:00.000+03:00Brother Charles,Thanks for trying to answer my que...Brother Charles,

Thanks for trying to answer my questions. I know about the church history very well and about E.G. white.

Please answer my questions about all that is going on in the church. Is the SDA church perfect? if yes/no. Then we will be held accountable for any soul that is lost because we proclaim to be the remnant church. What is your thought? Remember all that you are quoting is not the Bible but publication of the SDA church.
How can you convince a non adventist using the Bible only? Remember E.G. White's writings are not the word of God, only the Bible is the word of God. SDA's tend to put her writings above the Bible and that is a very dangerous thing. Square me out with the word of God only which is the Bible.

Help
Member,
Toronto CanadaAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1346067254361924053.post-2945193355507227782009-01-14T15:13:00.000+03:002009-01-14T15:13:00.000+03:00Mjadala ni mzuri sana,tis a challenge to any reade...Mjadala ni mzuri sana,tis a challenge to any reade. One qstn to Muinjilist,sasa hilo kanisa ni Dar pekee au hata huku mza mwaja?Anonymousnoreply@blogger.com