Tuesday, November 8, 2011

A WEEK OF PRAYER - HEALTH


Dear all,

Greetings.

I am hereby reminding you of a special week of prayer with emphasis to health.
Apart from prayer, there are also so special and interesting health subjects that will remind us of how to live a healthy life.

The topics for the remaining days are as follows:


Tuesday 08/11/2011:
Siri ya kuishi maisha marefu


Wednesday 09/11/2011:
Maelekezo ya Afya ya Kinywa na Orodha ya vyakula vya Muumba


Thursday 10/11/2011:
Ustadi wa kula


Friday 11/11/2011:
Siri ya Kupumzika


Sabbath 12/11/2011:
Mwenendo mzuri kuliko yote


Utapata wasaa mzuri wa kuuliza maswali yanayokutatiza.

Naamini hutakosa baraka hizi.

Venue: Magomeni SDA Church
Time: from 5.30 pm on the mentioned days.


God bless you as plan to attend.

Kind regards,

Dr. Bernadetha R. Shilio Mpoki
Mob +255 754 294513

Saturday, November 5, 2011

KANISA LA ZIWANI MOMBASA - KENYA



Picha Kwa Hisani ya Msafiri Mwadventista

KANISA LA FAMILY LIFE MOMBASA - KENYA

"Nimefurahi kusikia upo Mombasa. Ikiwezekana, fika pale Tononoka Grounds, kuna kanisa jipya tumeanzisha pale. Mwaka 2009 tulifanya efoti pale na kubatiza watu zaidi ya 500. Mwaka uliofuatia, tukanunua jengo kwa Shs. za Kenya milioni 12. Mwaka jana tukazindua kanisa katika Jengo hilo. Mwaka huu, tumenunua redio iliyokuwa inajulikana kama Shake FM 106.5 kwa gharama ya milioni 18 za Kenya, na hivi sasa redio hiyo imehamishiwa katika ghorofa ya kwanza ya jengo tulilonunua kwa ajili ya kanisa na matumizi ya redio na television. Nitafurahi ukipiga picha za redio na jengo hilo ili kuwatia hamasa watu wa Mungu tulio wasafiri. Waambie umetokea Dar Es Salaam, watafurahi kukupokea" - Msafiri Mwadventista, 18 OKTOBA 2011

"Mtu wa kwanza kabisa kunipa salamu zako ni kijana Samweli Machio. Hilo ni jina lake tangu utotoni. Huyu alikuwa kijana wa mtaani “chokoraa” kwa miaka zaidi ya 25. Hakuwahi kuishi ndani ya nyumba kwa maisha yake yote. Alimpokea Yesu kwenye effort yenu akabatizwa na kuacha aina zote za uvutaji, sasa ndiye mwangalizi wa kanisa kama alivyokuwa Samweli mwenyewe. Picha yake akiwa ndani ya kanisa amemaliza kuandaa kwa ajili ya ibada ya jumatano."

"Salamu za pili ni kutoka kwa wazee wawili wa kanisa. Elder John Maxwell na mwenzake. Waliotumwa na kanisa kuja DSM kukutafuta kwa ajili ya zoezi gumu la kupata mamilioni ya pesa ulizoelezea kwa ajili ya kununua hilo jengo. Walikuja DSM bila kujua wanakokwenda .... Wamenieleza jinsi Mungu alivyokuwa upande wenu hadi hilo jengo likanunuliwa na kanisa badala ya kununuliwa..."

"Salamu za tatu ni za Pr. Silas Saro. Amefurahi sana kusikia kwamba umeniambia nifike hapo. Wako kwenye ukarabati wa kituo cha redio kilichokumbwa na mvua na maji kujaa kwenye studio na kufanya uharibifu mkubwa. Pichani utaona studio iliyokuwa ikitumiwa imeharibika, maji yalijaa ndani na kukatisha matangazo kwa muda. Hivi sasa wamehamishia kila kitu kwenye chumba kingine na wanafanya ukarabati wa jengo juu ili mvua isiendelee kuleta maafa kwao. Matangazo yanaendelea kama kawaida..."


"Salamu za nne ni kutoka kwa Bw. Shabaan Ndege. Mkurugenzi mkuu wa kituo cha Sheki FM 106.6. Aliyekuwa mtangazaji wa UHURU radio inayomilikiwa na Mhe. Raila Odinga na kusikika nchi nzima. Huyu bwana baada ya kuombwa na kanisa akaacha kazi kwa Raila na kuanza kuitumikia radio ya kanisa. Kwa wanaoangalia TBC1 mtamkumbuka, alikuwa na Tido Mhando akitangaza kutokea Nairobi. ....Wamenionyesha mipango ya kukipanua hicho kituo, wanahitaji maombi mengi..."

KANISA LA KIZINGO MOMBASA - KENYA


"Hilo ndilo kanisa mama hapa Mombasa, kama ilivyo Magomeni, DSM. Ibada yao ni Kiingereza. Nilisali hapo ikiwa ni siku ya AMR. Nilifurahia sana Ibada ya nyimbo. Wametenga dakika 20 za uimbaji kanisa zima! Walichotuzidi kwangu ninaposali ni kutumia vizuri muda wa uimbaji. Ilinikumbusha miaka ya 80's nikiwa shule Ikizu uimbaji kanisa zima tukitumia kitabu cha Church Hymnal" - Msafiri Mwadventista

Sunday, September 25, 2011

Mkutano Mkubwa wa Neno la Mungu Sinza

Mhubiri: Mwinjilisti Roy

NENO KUU: MAISHA YENYE FURAHA, AMANI NA HAKI MILELE ZOTE YANAPATIKANAJE?

MAHALI: Uwanja wa Shule ya Msingi Mapambano — Sinza

LINI: TAREHE 25/09/2011 HADI TAREHE 15/10/2011

MUDA: SAA 09:30 - 12:00 JIONI

MIONGONI MWA MADA NI:

· Kwa nini Dunia imejaa maumivu na machungu mengi? Dawa yake ni nini?

· Dhambi mbaya isiyosameheka,

· Tunapokufa tunaenda wapi?

· Kifungo kirefu kuliko vyote duniani: Ni nani atakayetumikia na ni kwa muda gani?

· Njia bora kuliko zote ze utunzaji wa fedha na mali zako

· Masalia ya watu katika vita iliyo kuu na ndefu kuliko zote

PIA:

· Masomo ya Afya yatafundishwa

· Masomo ya Ndoa na Familia yatafundishwa

· Maswali mbalimbali yatajibiwa

· Wagonjwa na wenye shida wataombewa

Kwaya Mbalimbali Zitahudumu

Nyote Mnakaribishwa

Worshipping on the Sabbath at Dartmouth

The blessings and challenges of worshipping on the Sabbath in a secular 'university city', as we observed at http://ufunuo.blogspot.com/2011/07/worshipping-on-sabbath-in-uppsala.html and http://ufunuo.blogspot.com/2011/09/stride-with-jesus-in-institutes-of.html, also faces students at Dartmouth and neighboring schools in New Hampshire (NH), USA. One of those challenges is that the nearest church is very far from some of the colleges. This Sabbath a group of students worshipped together for the first time. The Seventh-day Adventist Chaplain at Harvard (http://chaplains.harvard.edu/chaplains/profile.php?id=1114) led an interesting Bible discussion based on the second chapter of the first epistle of Peter that emphasized the need to live a Christ-centered life in the secular world. We also shared a testimony of how God helps students navigate their way in secular campuses. May we pray for this 'little flock' at Dartmouth as the Holy Spirit moves them to establish a sustainable campus ministry group that will cater for the spiritual needs of students in the NH area.

Collegiate Summit 2011 at Harvard University

Dates: Friday and Sabbath September 30th - Oct. 1st, 2011



Background:


Registration:

Contacts: