Tuesday, June 8, 2010

MPINGA KRISTO AMEKUJA!

KARIBU USIKILIZE SEMINA YA UNABII
KUANZIA TAR.29/05/10 MPAKA 24/06/10
RADIO MORNING STAR FM 105.3; SAA 2.15 MPAKA 3.15 USIKU

Mwl. R.D.Zembazemba wa Kanisa la SDA Chuo Kikuu cha DSM

JUMA LA KWANZA
Jumamosi Mei 29 1. DALILI ZA MWISHO WA WAKATI
Jumapili Mei 30 2. HALI YA SOMO LA MPINGA KRISTO
Jumatatu Mei 31 3. UMUHIMU WA KUJIFUNZA UNABII WA MPINGA KRISTO
Jumanne Juni 1 4. MUASISI WA UPINGA KRISTO KATIKA VITA
Jumatano Juni 2 5.MPINGA KRISTO KATIKA BIBLIA
Alhamisi Juni 3 6. MPINGA KRISTO NDANI YA MITUME 12 WA YESU

JUMA LA PILI
Jumamosi Juni 5 7. AKILI YA KUMGUNDUA MPINGA KRISTO
Jumapili Juni 6 8. MUNGU ANATAWALA HISTORIA YA DUNIA
Jumatatu Juni 7 9. HISTORIA YA MPINGA KRISTO(1)
Jumanne Juni 8 10. HISTORIA YA MPINGA KRISTO(2)
Jumatano Juni 9 11. IMANI YA MPINGA KRISTO(1)
Alhamisi Juni 10 12. IMANI YA MPINGA KRISTO(2)

JUMA LA TATU
Jumamosi Juni 12 13. MPINGA KRISTO AJULIKANA(1)
Jumapili Juni 13 14. MPINGA KRISTO AJULIKANA(2)
Jumatatu Juni 14 15. NJAMA ZA KUZUIA MPINGA KRISTO ASIJULIKANE
Jumanne Juni 15 16. KIZUIZI NA WAKATI WA MPINGA KRISTO
Jumatano Juni 16 17. MPINGA KRISTO NA CHUKIZO LA UHARIBIFU
Alhamisi Juni 17 18. MPINGA KRISTO NA MNYAMA WA HESABU YA 666

JUMA LA NNE
Jumamosi Juni 19 19. MPINGA KRISTO NA MWANAKONDOO ANENAYE KAMA JOKA
Jumapili Juni 20 20. MPINGA KRISTO AMNYANYASA MAMA MWENYE MIMBA
Jumatatu Juni 21 21. MPINGA KRISTO NA BABELI- KAHABA MKUU
Jumanne Juni 22 22. USHIRIKA WA MPINGA KRISTO NA NABII WA UONGO
Jumatano Juni 23 23. MASWALI YA WASIKILIZAJI/MUHTASARI WA SEMINA
Alhamisi Juni 24 24. HUKUMU YA MPINGA KRISTO NA WITO WA YESU KWETU

SABATO JUNI 26 25. UNAKARIBISHWA KUWA RAIA WA ISRAELI! (Hii itahubiriwa Kanisani)

4 comments:

  1. jamani hilo somo ningelipenda nilisome ila sasa tatizo nipo mbali na somo sitaki kulikosa sasa naomba unisaidie kitu kimoja ntapataje? naomba unisaidie saaana ili na mimi niweze kuwahubiria watu wa dodoma juu yahilo maana naona wan giza katika hilo!
    wenu ktk bwana
    mankya nkya
    dodoma

    ReplyDelete
  2. je nitapataje CD's zake maana nimechelewa kuona hili tangazo nzuri()

    ReplyDelete
  3. USHAURI WANGU KWENU NYIE MNAOMCHA MUNGU ANGALIENI NDIO YENU NA IWE NDIO NA HAPANA YENU NA IWE HAPANA MSILITAJE JINA LA BWANA YESU KATIKA VINYWA VYENU WAKATI MIOYO YENU IKO MBALI NA MUNGU ME WENU KATIKA BWANA NEEMA WA ARUSHA

    ReplyDelete
  4. CD zinapatikana kanisa la waadventista wasabato Chuo kikuu Dar es salaam.

    ReplyDelete