UFUNUO: Revelation of Hope

Thursday, July 8, 2010

NATAMANI KUWA KAMA MALAIKA/MTOTO

Wimbo huu wa Judith Wambura (Lady Jay Dee), hasa haya maneno yake, umenikumbusha fungu hili:

Yesu akamwita mtoto mdogo akamsimamisha mbele yao. Kisha akasema, "Nawahakikishieni kwamba msipobadilika na kuwa kama watoto wadogo, kamwe hamtaingia katika Ufalme wa mbinguni. Kwa hiyo mtu ye yote anayejinyenyekeza akawa kama huyu mtoto, ndiye aliye mkuu kuliko wote katika Ufalme wa mbinguni. Na ye yote anayemkaribisha mtoto mdogo kama huyu kwa jina langu, ananikaribisha mimi" - Mathayo 18: 2 -5

Chambi Chachage at 9:47 AM
Share

No comments:

Post a Comment

‹
›
Home
View web version

Wanablogu - Bloggers

  • Chambi Chachage
  • Mgune
  • Naomi Shadrack
  • Rubara Marando
  • Subi Nukta
  • Unknown
Powered by Blogger.