Loading...

Friday, July 8, 2011

Injili ya Milele Maonyeshoni Saba Saba!

Banda la Vitabu la Kanisa la SDA Magomeni


Banda la Jazia - Uji wa Lishe kwa Afya Bora

Picha hizi kwa hisani ya Ndugu Rubara Marando zinaonesha mwamko wa Kanisa katika kupeleka Injili ya Milele kwa njia ya vitabu na ujumbe wa afya (bora). Hapa ni katika maonyesho ya mwaka huu ya Saba Saba jijini Dar es Salaam. Uinjilisti huu unatukumbusha wimbo wa Kwaya ya Angaza ya Kanisa la SDA Manzese ambao unasema Kazi ya Injili itakwisha kwa Njia ya Ujumbe wa Vitabu (Vyenye Habari Njema ya Ufalme wa Mungu). Amen.

4 comments:

 1. Bwana Asifiwe. Haya ni maendeleo mazuri saaaaana kwa kanisa kueneza injili katika sehemu kama hizi. Jina la Bwana aliinuliwe.

  ReplyDelete
 2. This is Matthew 28, "Go ye therefore" in action. Bwana asifiwe!

  ReplyDelete
 3. Hatua hii ya wainjilisti wetu inatia moyo. Mungu akawajaze nguvu zaidi za ubunifu na uthubutu

  ReplyDelete
 4. Mbarikiwe wapendwa. Mungu awe nanyi.

  ReplyDelete