Tuesday, May 10, 2011

Ajali ya Kwaya ya Ambassadors of Christ

Hizi ni picha zilizopigwa tarehe 18 Julai, 2010 kwenye harusi ya Shima & Anjelina, kanisani Mwenge SDA na baadaye Mlimani City. Pamoja na hizo picha ni rambirambi za baadhi ya wadau walioguswa kwa namna moja au nyingine.

Hapa Faraja Sefue anaelezea kwa ufupi jinsi ajali ilivyotokea:

Poleni sana wanajukwaa.

Shima amenipigia simu sasa hivi, yeye yupo eneo la ajali huko Kahama na huu ndio mrejesho:

Ajali imetokea Tinde - Shinyanga vijijini saa mbili usiku jana tarehe 09/05/2011, gari waliyokuwa nayo wanakwaya ni left handed na mbele kulikuwa na lori limeharibika japo walikuwa wameweka majani kama ilivyo kawaida ya wa-TZ. Dereva akataka ku-overtake, hamadi lori la Iveco likawa linakuja na hatimaye ajali ikatokea. Dereva alijaribu kukwepesha gari na alishindwa wote walioumia walikuwa upande wa kulia. Marehemu ni Amos, Philbert na Gitale. Helicopter inakwenda asubuhi hii kuchukua majeruhi na kuwapeleka hospitali ya rufaa Kigali na ambulance inakuja kuchukua miili miwili ya Wanyarwanda pamoja na mwili mmoja wa Mtanzania kwenda Kigoma kwa mazishi.

Tuwaombee majeruhi wapate nafuu na kuendelea na kazi ya uinjilisti kwa njia ya nyimbo.

Mgune Masatu Wrote:

You know what?

I received a call from brother Opere in the middle of last night, all the way from Nairobi. Because I was sleepy, I couldn't understand and thought I was dreaming. But when I woke up in the morning, alas, it was no dream. I am sad. So sad.

Of all the folks, I will live to remember "Jimmy". Why? In 2008 at the retreat in Baraton, for those who were there can remember this. On the tour day (Thursday), all retreaters were given their lunches (take away) which included a bottle of soda. During the dinner, there was a condition that for one to be served some food, he/she had to return the bottle first. Unfortunately, the late Jimmy had lost his bottle, and so he was saying "Ooh kichupa changee" which is a Kinyarwanda for "Ooh my bottle" or in Kiswahili it's "aah chupa yangu!"

Again last year in July, the "Ambassadors of Christ Choir" were invited for a wedding ceremony right here in Dar es Salaam. The wedding took place at Mwenge SDA Church and followed by a reception at the famous Mlimani City Hall. When we were in the hall, I and my wife, when we were close to him, we called him simultaneously, "Hey Jimmy, Kichupa Changeeee," trying to remind ourselves of the Baraton's incident.

I am overwhelmed with all these fresh memories circulating on my mind. I am sad! Nimesikitika sana wapenzi. When I remember their famous song "Fuata Nyayo" and seeing Jimmy leading the "Fuataaaaa......." in his white shirt, oooh come on, I am speechless!

I am shaking while writing this. I may say that I need more prayers, but let's look at our lives and pray for the deceased' families, the church and everyone affected in one way or another.

Kaka Shima, pole sana. Najua msiba huu unakugusa moja kwa moja kwani utawakumbuka daima walivyotia nakshi kwenye harusi yako pale Mlimani City mwaka wa jana.

May God take the lead.

Sorrowfully yours,
Mgune Masatu.

Wema Wilson wrote:

O my God, ni habari ngumu sana kuamini! It's like Amos amekuja kufia nyumbani! Tena mkewe anafanya kazi Shinyanga. Huko kijijini Manyovu na Kigoma kwa ujumla hali ni tete kwa umuhimu wa Amos katika kijiji na kanisa kwa kujituma tangu akiwa ASSA, kwa sisi alikuwa kaka tena mentor mzuri so wenzenu nahisi tuna hali ngumu zaidi. Habari za sasa ni kwamba kuna helicopter inatarajiwa kuwasafirisha majeruhi kwenda Rwanda na Amos anasafirshwa kwenda Kigoma. Poleni sana wote mlioguswa, Mungu atufariji.
Wamepata ajali kilometa 70 to Kahama na 40 to Shinyanga. Chanzo kilichopo hospitali kinasema driver alikuwa ana-overtake akakutana na lori so wakabanwa na magari yote mawili. Waliokufa ni watatu. Mungu atusamehe tunaomuliza"Why this?" and "Why those?"

Kwa wale wasiowafahamu hao marehemu kwa sura,kwenye hii album mpya wamejipanga kwa kufuatana toka kushoto, mmoja(Philbert Manzi) anafanana sana na Kagame ,mwingine ni Gatare Ephraim(huwa wanamwita Jimmy) kwenye wimbo wa ebarua ndio ameshika bible,na wa tatu ni Amosi Phares mfupi kdg.

Majeruhi ni dada aliyeigiza kama mke aliyenyanyaswa kwa kutozaa, kijana aliyebebwa juu kwenye wimbo 'twapaona kwa mbali' na yule dada mweupe ana nywele fupi(anaonekana kama kaolewa). David Sando wrote:

Ni habari ya masikitiko sana, kwamba hawa waimbaji na marafiki wetu wa kweli!
Habari niliyokuwa nayo ni wanne, ila naambiwa, list ya walifariki niliyoelezwa kwanza ilikuwa ni Ephra, Patience, Amos and Pilbert, lakini muda si mrefu tena nikaambiwa Patience amenusurika ila yuko hoi kwa hiyo idadi imebaki 3 , ni kutoka kwa friends of jesus crew in Kigali and not confirmed 100%.


Hebu tuwaombee wanakwaya hawa katika kipindi hiki kigumu ?

Tafadhali kwa hili nimekuwa na wakati mgumu, mara tatizo kubwa kama ili linatokea na nakuwa na maswali mengi kama just out of curiosity question "Je, huu ni mpango wa Mungu au udereva mbaya wetu na miundo mbinu yetu mibovu"? Lengo sio kutafuta mbaya yuko wapi bali ni kujua kama ni tatizo ambalo liko zaidi upande wetu binadamu au ni vitu ambavyo ni non-modifiable?


Noah Mubiru wrote:

It is sad to inform you all of the death of some members of "Ambassadors of Christ Choir" - Remera church, Kigali. They were travelling from TZ where they had a show over the weekend. Those confirmed dead include Ephraim popularly known as Ephra, Philbert and Amos.

A few others are in critical condition. Please remember to mention them in your prayers! Leonard Chauka Wrote:

Hapa Duniani kila siku inabidi tuwe tayari kwa sababu wakati wote tunaweza kuondoka. Binafsi, habari hii ilinigusa sana. Kati ya wapenzi wa hii kwaya, nami ni mmoja wao. Nilifuatilia sana habari za ujio wao, PTA nilikuwepo na nikabarikiwa sana na nyimbo zao. Nilipopigiwa simu usiku wa manane na rafiki ambaye tulikuwa wote PTA kwa ajili ya kongamano lililoandaliwa na ACACIA Singers, niliumia sana moyoni. Matukio kama haya yatukumbushe kuendelea kuishi maisha yanayomtukuza Mungu wakati wote ili tuondoke Duniani na tumaini.

Mungu awapatie amani na uvumilivu mkubwa familia zote zilizopoteza wapendwa wao, waimbaji wa Ambassadors of Christ waliobakia na wale wa Acacia Singers.

* Sikiliza nyimbo za Ambassadors kwenye blogu hii:

http://mtangazaji.blogspot.com/


110 comments:

  1. May the almighty God comfort the member of the Ambassador of Christ.

    ReplyDelete
  2. Wingu kubwa limetanda kwa jamii ya wapenzi wa muziki huu wa Mbinguni. Bwana umekubali vinanda hivi vizuri vipumzie vingali na nguvu, kasi, ubunifu na kila hali ya kukutukuza hakika wewe ni Bwana wa majeshi. Nasi utusaidie kukumbuka hesabu ya siku zetu ili tufanye maamuzi ya hekima. Natamani kuimba fuata nyayo tukiwa na Jimmy...Mbinguni

    Bambino

    ReplyDelete
  3. This is sad in deed!
    One thing we know, in this world we are passing! Our permanent home is in heaven above where death has no access. Let us pray that in that glorious morning when all the tombs will have no choice but to give out all the saints, we may join hands with the ambassadors as we sing the song of Moses and the Lamb. Let us lead our lives as pilgrims...we are not home yet

    ReplyDelete
  4. Jamani mimi mwenzenu hadi sasa hivi nadhani bado nipo usingizini labda nikiamka nitasikia habari tofauti,kiukweli nipo puzzled kabisaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!nakumbuka jumamosi niliongea na Manzi akanambia hatokuja tena Tanzania kwa basi labda kwa usafiri mwingine nikamwambia nitamkodia ndege binafsi, jumapili tukaonana PTA,J3 usiku kama satano napokea msg naambiwa Manzi ni kweli hatokuja tena Tanzania milele.Naamini nikiamka nitasikia tofauti!!!!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  5. kwakweli inauma sana kutokana na nyimbo za kama 'kwetu pazuri,parapanda,ni vyema kumshukuru Mungu' ni nyimbo ambazo ukizisikiliza unapata hamu ya kufika mbinguni kwakuwa mungu aliwapenda zaidi hatuna la kufanya ni vyema kumshukuru mungu kama walivyoimba na pia kuwaombea waliobaki

    ReplyDelete
  6. wapenzi inauma na ni ngumu kuamini ilikuwa alhamisi jion wakiwa wanakuja dar wakafika kahama kanisa laitwa nyahanga ambapo tuliwapokea majira ya sa4 usiku wakala chakula cha jion hapa na kuendelea na safari na hii ni kwa kuwa wmakwaya wa nyahanga wanafundishwa na sozi na amos anajamaa zake huku na nukuu maneno ya filbert akiongea kinyarwanda na amos akitafsiri kiswahili ni furaha sana kuwepo hapa leo na hii ni mara ya kwanza kwetu ambassodor kufika kanisa la nyahanga na tunashukuru sana kwa supprise mlotufanyia tumepokelewa stand na pikipiki zikipishana kama ziendazo harusini tukawa tunajiuliza tunapelekwa wapi mwisho tukajikuta kanisani,mmetufanyia makubwa tumekula na kushiba ila nyie mkija kwetu mtupe taarifa coz bila taarifa hatuwezi kufanya haya wenzangu naombeni tupange kuja kuimba kanisa hili je mko tayari wakakubali na akashukuru kisha sozi akasema nikiwa nyahanga me si ambassodor tene ila nac means nyahanga sda choir wakaimba nyimbo mbili wa kwanza tufanye kazi n awapili kwetu pazuri ila waliimba kinyarwanda wimbo huu
    tukaomba wakaanza safari.siku ya tukio baaada ya choir kufika walikuwa wakiomboleza wakisema wanawakumbuka amos na filbert coz nusu saa kabla ya ajali walisema nanukuu jamani tusameheane kama tulikwazana kwenye safari au siku nyingi mjadala ukawa huo kisha wanachoir wakaombana msamaha then ajali na mauti wapenzi wao wamefunga files tujipange nasi pia tufunge fails zetu vyema

    ReplyDelete
  7. Kwa kweli habari hii inasikitisha sana cha msingi ni kuiombea kwaya nzima kwa ujumla katika wakati huu mgumu na pia tukumbuke kwamba tunatakiwa kuwa tayari wakati wowote wenzetu waliondoka wakiwa wanaelekea nyumbani rwanda lakini si wote waliofika.tumaini letu ni moja tu kwamba siku ya mwisho tutaonana tena pamoja..

    ReplyDelete
  8. Ama kweli ni jambo gumu kuamini lakini hatuna budi wenzetu wamelala mimi nilipo sikia nikakumbuka kifo cha maafisa wa kanisa morogorowalivyo teketetezwa kwa ajali kamahii.
    OOh Bwana wa majesh tufundishe kuzihesabu siku zetu.jaque Msilikale

    ReplyDelete
  9. Angros J. NtahondiMay 12, 2011 at 4:50 PM

    Tutaona mengi kwenye uso wa dunia kabla Yesu hajarudi, kweli inakatisha tamaa kuachana na wapendwa wetu waliotutia moyo kwa nyimbo zao hasa katika safari ngumu ya maisha haya. Natamani sana kuwaona ambassadors wakiwa wametimia idadi yao, bahati mbaya haiwezekani tena katika dunia hii isipokuwa katika makao ya amani kwa BABA ambapo kila chozi litafutwa, wala mauti haitakuwapo tena, wala maombolezo, wala maumivu, wala vilio, kwa kuwa mambo ya kwanza yamekwisha kupita.(Ufunuo 21:4)

    Nitaendelea kukumbuka kwamba siku ya uzinduzi pale PTA, marehem GATARE JIM EPHRAHIM alikuwa mnyarwanda wa kwanza kuingia ukumbini, lakini pia wimbo wa mwisho kutuaga ulikuwa "KETU PAZURI" Huko hakuna makaburi..., kama hujui kama dunia ina shida nenda hospitali uone..

    Ni vigumu kufuta makovu ya huzuni tulizo nazo,Nilitamani sana wafike salama ili wasimulie wanavyopendwa na watanzania, lakini haikuwezekana. Tumaini langu ni kwamba baada ya taabu zote na dhiki za dunia tutapata pumziko katika makao ya milele. "BWANA ALITOA, BWANA AMETWAA, JINA LAKE LIBARIKIWE".

    ReplyDelete
  10. Mwenyezi Mungu aendelee kuwafariji wenzetu waliopatwa na mkasa huu mkubwa na the good thing we have hope that we will see amos, jim and philbert in heaven again. amen

    ReplyDelete
  11. Tuko Pamoja nanyi we love you and we are praying for you everyday, we are praying for those who are in hospital to get well , may Our God be with you and keep you safe. Amen

    ReplyDelete
  12. oooooh! God it is hard to believe till now Idont understand why it hapened but God never make mistakes! we will miss them so much, hope we will meet them in that beautiful place!

    ReplyDelete
  13. Kwa kweli ni vigumu sana kuamini lakini ndivyo dunia ilivyo,nilisikitika sana nilipopata taarifa hii lakini kwa kuwa sisi ni watu wenye matumaini tunatarajia Mbingu mpya na nchi mpya ambako hatutaagana milele. Nasi tukiwa na wapendwa wetu tutaungana katika ile kwaya kubwa sana pamojo na malaika huko mbinguni. Tuwe tayari wakati wote ili tutakapopumzika tupumzike katika Kristo tukiwa watu wenye matumaini ili Kristo atakapo kuja atuchukue Mbinguni tukapumzike.

    ReplyDelete
  14. Naposikiliza nyimbo zao naona jinsi gani walivyozungumzia maisha ya duniani na maisha ya kifo pia.Mf: Kwetu pazuri na nyinginezo.
    Marehemu wapumzike ka Amani ya Bwana.

    ReplyDelete
  15. Mwenyezi Mungu ametoa na pia ametwa jina lake libarikiwe.

    ReplyDelete
  16. Bwana azidi kuwatia nguvu ndugu na jamaa wote walioguswa na msiba huu, hakika kazi ya Mungu haina makosa, tuliwapenda sana naye amewapenda zaidi, kikubwa tumuombe mwenyezi mungu atutengenezee njia ili hapo arudipo na utukufu wake, wote tuwe upande wake na hatimaye tuimbe wimbo wa Musa na Mwana kondoo Nyumbani kwa baba Mbinguni, Amin.

    ReplyDelete
  17. Na amani ya Mungu,ipitayo akili yote itawahifadhi mioyo yenu na nia zenu katika kristo yesu ,Mungu awabariki

    ReplyDelete
  18. siamini nahisi naota kwani yaliyotokea sijui kama ni kweli mungu azilaze mahali pema roho za marehemu. poleni naamini mungu yuko pamoja nasi. ameen

    ReplyDelete
  19. I can't believe this.Today was my first day to hear this songs and I was touched to an extent of coming to search for more about the choir. Oh my God, I couldn't control myself, It hurts and breaks me down, My Living God who knows everything will surely be with the family, relatives, friends during this hard time. Just I didn't know the choir and it's through my brother who sent the VCD kwetu pazuri. I live in USA but I love to listen music. Please may I know how the remaining brethrens are doing.

    ReplyDelete
  20. MUNGUN AZILAZE MAHALI PEMA PEPONI

    ReplyDelete
  21. I WAS AND AM STILL NOT BELIEVING WHAT JUST HAPPENED TO OUR BELOVED ONES!!!LET US PRAY SINCE WE DON'T KNOW THE TIME...MAY OUR GOD TAKE THEM INTO THE GUIDANCE OF HIS ANGELS...AMBASSADORS OF CHRIST YOU HAVE INSPIRED MY LIFE WITH A LOT OF GRACES THROUGH YOUR SONGS.I LOVE YOU IN THE NAME OF JESUS OF NAZARATE WHO LIVES.

    ReplyDelete
  22. Mwenyezi Mungu amekwishawapokea, Kwao Pazuri, wanapumzika kwa Amani, Amina

    ReplyDelete
  23. Mungu wetu ni mwema, kwa kuwa hatujui siku wala saa, tukeshe tukiomba kila wakati. maana mungu aliwajua akawaita kwa wakati unaofaa. Wakitoka kueneza injili je wewe utakuwa wapi?

    ReplyDelete
  24. i want to express my condolences.
    it is really a tragic incidence for the family,friends and elsewhere in the globe!
    i didn't know much about them but i loved their songs. may their soul rest in peace, we loved them but the lord loved them more.

    ReplyDelete
  25. Meshack Mgovano
    Anyway, mungu ana makusudi na maisha yetu. tujifunze kuandaa future zetu ili tukutane paradiso tukiwa na wapendwa wengine ambao walifunga kurasa za maisha yao wakiwa wamejiandaa. naamini hawa wenzetu tutakutana nao paradiso kusikokuwa na makaburi maana dakika za mwisho kabla ya ajali waliombana msamaha, neema hiyo!

    ReplyDelete
  26. NI JUZI TU NIMEIJUA HIYO KWAYA NA KUSIKIA KUWA WAMEPATA AJALI. POLENI SANA MULIOBAKI NA MUNGU AWATIE NGUVU.

    DOROTHY MWINYIMADI
    TANZANIA

    ReplyDelete
  27. KITOGWE Salvatory, KWAYA HII MUNGU AIBARIKI SANA NIMEANGALIA DVD TOLEO JIPYA NIMESIKITIKA SANA KUMUONA RAFIKI MPENDWA PHALES MIONGONI MWA WALIOTUTANGULIA, BASI MUNGU AMKUMBUKE KWA MCHANGO KATIKA KWAYA HII

    ReplyDelete
  28. Sielewi Kinyarwanda lakini kila nkisikia nyimbo zao mpya za baada ya ajali na msiba najisikia huzuni sana,hakika hawa ndugu Mungu anajua atawalipa nini?

    ReplyDelete
  29. NI MAJONZI MAKUBWA HADI SASA TULIYONAYO KWA MARA YA KWANZA NASIKIA NYIMBO ZA AMBASSADORS CHOIR NILIZIPENDA SANA HASA KAZI TUFANYE NA KUNA SIKU, MUNGU NI MWEMA KWETU SOTE NA TUMSHUKURU KWA KILA JAMBO. NI MITIHANI NA MAJARIBU HAPA DUNIANI TUNAPASWA KUJIPA MOYO MAANA AYUBU ALIJARIBIWA LAKINI MUNGU ALIMPIGANIA, KWETU PAZURI MBINGUNI HAKIKA TUJIKAMILISHE ILI TUKAKUTANE NA WAPENDWA WETU, AMOS, JIM GITARE NA PHILBERT MANZI. POLENI NA MSIBA TUNAWAPENDA SANA.

    ESTHER EMMANUEL FROM MWANZA-TANZANIA

    ReplyDelete
  30. MUNGU AKIKUPA MTIHANI ATAKUWEZESHA KUUKABILI PIA HIVYO MTIHANI HUU MLIOUPATA AMBASODOR KWAYA NI MUNGU PEKE YAKE NDIYE ATAKAYE WAFAULISHA.MUNGU ANAPORUHUSU JARIBU LIKUPATE ANATAKA APIME NI NINI KILICHOMO MOYONI MWAKO. LA MSINGI NI KUMSHUKURU MUNGU HIVYO MIOYONI MWENU KUJAWE NA SHUKRANI NA SIYO MANUNG'UNIKO.MUNGU NDIYE FARAJA YA KWELI.
    SHUKURUNI KWA HILI MAANA NENO LAKE LINASEMA TUSHUKURU KWA KILA JAMBO.
    KWAYA YENU NI NZURI NA MUNGU AZIDI KUWAINUA NA MSIKATE TAMAA MUNGU ANAMAKUSUDI MEMA NA HUDUMA YENU. MUNGU AWABARIKI SANA. NAIPENDA KWAYA YENU.
    CHRISTINA KASILI
    SHINYANGA.

    ReplyDelete
  31. BEATRICE OTIENO NELSONNovember 3, 2011 at 9:15 AM

    Am feeling bad because your choir was an eye opener to my Christianity level. U were my role model but I urge u brethren no one knows the time nor the hour when our Savior will come. Am praying that God give you grace and strength to overcome at this trying moments. Trust in Him he cares!

    ReplyDelete
    Replies
    1. FAUSTA BEATUS
      May God receive our beloved brothers Amos,Gitale and Philibert in his kingdom. coz no shadow to depress you only joy to surround you. our dear choir of ambassodor never loose hope coz God is always with you. Anything whats happens is for good. I myself i felt alot of pain coz all your songs always gives me hope. i wish all the best may God guide you.

      Delete
  32. its Very sad indeed. Its Only God who gives and takes. May his will be done here on earth.

    ReplyDelete
  33. Inasikitisha sana na inauma kwa kweli binadamu wote tunapita na tujue ipo siku tutakutana na ndugu zetu R.I.P brothers.

    ReplyDelete
  34. Na mimi pia nimeumizwa saaaaana na Yaliyofikia choir ya Ambassadors of Christ. Kwakweli sina neno. Nawaombea sana ili Mungu mwenyewe awafariji. Nyimbo zao tunazipenda saaaana zimenijenga kiroho, sina jinsi yakueleza. Watoto wangu (myaka tisa na myaka 7) hawasikilize nyimbo zingine ila Ambassadors, wamezipenda sana. Mungu amewachagua kwahiyo musikate tamaa, kwani iko pamoja nanyi. Naamini kwamba, hivi karibuni tutakutana wote pamoja na wenzetu wale waliotuacha.

    John B. From Canada

    ReplyDelete
  35. Binafsi niliposikia habari ya ajali hii sikuamaini.Lakini badaye nimekubaliana na hali
    ilivyo.But, really I'm extremely sad.I all surrender to Lord God of our savior JESUS.To HIM,all beings reside.I believe,the deceased 've been rested in GOD'S peace and they are waiting for us all the chosen of JESUS CHRIST.
    Nkwabi K. From Iringa.

    ReplyDelete
  36. MY God!!!!!!!! jamani ndugu zangu jamaa na marafiki wa muziki ya kirohoo ohh am so sad sad sad sad sad kwanza mimi hizi nyimbo nilikuwa nazisikia tuuu kila wakati ila ikatokea nikaguswa nikazipenda sana nilikuwa nchini marekani kwa kweli nilivutiwa na izo nyimbo sana sana hadi zilinifanya nirudi nyumbani Tanzania nilivyo fika nyumbani tanzania nikawa nawatafuta hawa waimbija ili niweze kuonana nao niwashukuru kwa ujumbe mzuri walio toa kwa jamani nilifuatilia sana nyimbo hizi lililonifuraisha zaidi nilipata kanda nzima ya video kwa kweli nilifululiza siku tatu kuangalia video hio, nilikuwanaona ni watanzana wameimba ila nilivyo fuatilia zaidi nikaambia sii watanzania ni wa rwandaaa maana lengo langu lilikuwa ni kuwaona live na niwashukuru wte kwa pamoja na kwenda kwa pamoja chakula cha jioni hilo ndio lililo kuwa lengo langu kuu,

    oh am sad sad sad sad sad sad nilivyo sikia kuwa waimbaji walio imba walipata ajali ingawa alie nipa taarifa alinipa taarifa tata aliniambia walikufa wote oh my GOD i was soo dissapointed about this nikajion safari yangu ya kuja kote Tanzania ilikuwa haina maana, BUt leo ndio nimepata habari kamili kuwa wamekufa watatu na nimeweza kuwaona kwenye mtandao walio kufa oh GOD wasaidie wapumzike kwa amani, tumekuja kwa mavumbi na tutarudi kwa mavumbi, duniani tunapita safari ya milelo ndio makao, poleni sana ndugu zangu mlio patwa na jangwa kubwa hilo kuondokewa na viungo muhimu, bado tunawapenda na bado naitaji kuwafikia naimani kabisa mwezi wa kumi na mbili nitakuja rwanda kwaajili ya kuwatafuta ili nitimize malengo yangu nawiwa sana kuonana na nyinyi na Ninaimani kuwa nitawaonaa,


    mungu awabariki wote mliojitoa kwenye maziko ya ndugu zetu sauti zao watashirikiana na malaika wakimsifu mungu naimani mbinguni kumeongezeka vipaji vitatu vya kumsifu mungu hivyo nasi tuombe tupumzike kwa imani ili tukashirikiane na ndugu zetu, am soooo sad sad sad,

    ameni!!!!!!!

    ReplyDelete
  37. Oh no i was just browsing recently and came across AMBASSODORS OF CHRIST choir from rwanda remera who realy sing wonderfully and when i was trying to follow up on their CDs on how to get them i saw some reports that thy had an accident recently losing some of them. POLENI SANA SANA. MAY THEIR SOULS BE RECEIVED IN HEAVEN AMEN. john sironka in emirates Dubai (kenyan)

    ReplyDelete
    Replies
    1. poleni kwa majaribu mwachen Mungu afanye kazi yake.

      Delete
  38. It WAs real real sad to me when I got A message from my sister from Kigali told me that our friends, christ ambassador choir from Remera SDA they face a fatal accident on the way from Dar es salaam to Kigali. But let we pray for our fiends who died.MAY GOD REST THEIR SOUL IN ETERNAL PEACE AMEN

    ReplyDelete
  39. Its real pain jamaniii!! Ni Mwezi toka niijue hii kwaya na napata izi taarifa!! Jamani lakini nina imani Mungu anamaksudi yake na ni mipango yake, cha muhimu tuombe Mungu awapumzishe kwa amani, Lakini jamani yule dada aliyeongoza wimbo wa Kwetu pazuri vipi hali yake?? Katika Album waliyoimba kwa Kirwanda cjamuona akiongoza tena!! Vipi aliumia sana pia au ni vipi?? Polen Ambassadors Choir, tuko pamoja

    ReplyDelete
  40. My dear friends, God does what He feels is right for His people. As human beings, we cry, sob, lose hope etc, but our God never fails and strengthens us to live again. He knows why He spared your lives and took your friends - so that you may bring more and more people to christ. I have also been strengthened day by day since I lost my dear child in 2009. I know the same God will do wonders to your lives, you will even praise His name through songs like never before and you will bring many near to God. Have faith, one day we shall meet all that left us and who were rightous when Jesus comes the second time-Amen

    ReplyDelete
  41. My name is Jackqueline Ndege from Nairobi Kenya. its barely a month since i got to meet these melodious voices at a shopping mall, then shortly after, am told about the tragic accident that claimed three precious lives!! Mercy mercy mercy!! Lord have mercy. May all the affected, me included take comfort in the fact that "BLESSED ARE THE SAINTS WHO REST IN THE LORD... THEIR WORKS WILL FOLLOW THEM" my 2.8yr old son Bevan loves your songs. may we work out our salvation with great fear and trembling that we may join the choir above, and your talent friends, which the devil cut short in this life will live on again for eternity!!! PEACE BE STILL.

    ReplyDelete
  42. Hello poleni sana watu wa Mungu....Hakika wenzetu wametangulia pahala pa zuri sana, nasi hatuna budi kujiandaa kwenda Mbinguni tukiwa wasafi mioyoni mwetu. Amina. Anyone with information kuhusu maendeleo ya majeruhi? Mungu wetu awabariki sana!!!!

    ReplyDelete
  43. am very glad 4 ur visit here in tz on dec 4. was enjoyed a lot 2 see u again.bt where is yvonne?we mic her,tell her that she has the obligation 2 preach the word of God.Stay bleced!

    ReplyDelete
  44. KWA KWELI KIFO HAKINA HURUMA. KWANGU LILIKUWA NI PIGO LISILO KIFANI

    ReplyDelete
  45. oooh!!!!!!!!!! My GOD ts more than painful. May the Lord rest them in peace. I will always remember dem.

    ReplyDelete
  46. basi hii kwaya mungu aibariki kupitiya nyimbo zao. kwa ajili ya wa kongomani yote nasema tena pole. ni Moise Suhya kutoka huko Lukanga Adventist universty / r.d.Congo samahani mukuje kutuimbiya huko Butembo.

    ReplyDelete
  47. Great be to the Lord, for the current members of the choir God had a purpose to loose your brothers, remain with faith that one day you bond together in the fathery love. Continue to complete the work which your bothers didnt complete and remain strong. We love your songs so so so much even though we dont understand your language, please we need more of such in shahili since they are encourging and teaching. God bless.

    ReplyDelete
  48. Nothing so touching than seeing people thanking God amidst tribulations Your new CD, IS TURNING SOULS 2 CHRIST NO DOUBT.THUMBS UP

    ReplyDelete
  49. Poleni sana ndio maisha nawapenda sana

    ReplyDelete
  50. Poleni sana marafiki zetu Ambasadors of Christ, binafsi nabarikiwa sana na nyimbo zenu na ninatamani kuwaona live. Jipeni moyo na msonge mbele na kazi ya Mungu.
    GOD BLESS YOu!

    ReplyDelete
  51. God has a purpose for each and everyone of us in this world.we should surely the limited time he has given us.God bless the Ambassador's of Christ choir for the wonderful songs.Sorry for what you encountered last year. God Bless You so much

    ReplyDelete
  52. its so sad, i feel tears droping, when i look at these guys, omg, why this?? but u have ur own intention!amos, philbet and ephrahim, i will always remeber you guys,its so touching event, really we lost people at their pitch in gospel music! rest in peace!

    ReplyDelete
  53. let the rip, god had his own intention to do so!i loved them untalkable and tellable,may almight god be praised forever!
    philbert, amos, and ephrahim hope you are resting in peace!
    amin

    ReplyDelete
  54. It is so sad,after accident i was'nt able to watch/litening their songs.But why? God has an answers for this,ok Let their soil rest in peace,hopping to see them. Glory be to God
    Amin.

    ReplyDelete
  55. its so painful bt we hav to remember one thing God his the creater of everything so we hav nothing to say especialy as human being

    ReplyDelete
  56. i am Ocholla Victor, from Kenya,its with sincere heartfelt feeling that i read about this terrible words and find it difficilt to imagine or rather accept that these wornderful men of God perished, lakini kwa hayo yote i love your encouragement on your fifth volume 'PARAPANDA YA BWANA.' Peace be with you.

    ReplyDelete
  57. God has his own reasons

    ReplyDelete
  58. Every thing happens happen for a reason, we loved them God loved them most, let them rest in piece amen. Its pain for real but we hav nothing to say especialy as human being.
    We love u Ambassadors of Christ.
    I Lightness from Dar es salaam Tz. wellcome again Tz.

    ReplyDelete
  59. Am Sara from. Kenya may God be with you. Console you in this time your songs are a blessing. Tome moreso parapanda ya bwana

    ReplyDelete
  60. so sad may GOD rest their souls in eternal peaace .i love your songs with all my heart.

    ReplyDelete
  61. it is Engineer Elvis Ochieng
    from Kenya I'm Speechless of comments the more I think of the incident the weight of the liquid overcomes my eyes. God has done his part, though sad to us but he knows why Oooh God enligten us to understand your doings before we are lost of control. Give strength to the bereaved and strengthen our faith. amen

    ReplyDelete
  62. Ndiema from Kenya
    Let us seek strength from the Lord whom we believe.

    ReplyDelete
  63. pole sana!also mourning coz i love your songs.May God give you strength!

    ReplyDelete
  64. Its just the other i had about the accident that made me feel so down for evangelists like them. God had a purpose for what happened. For us who are left what do we have to accomplish before the day. Hoping to join kwaya kuu kwetu pazuri tukiimba wimbo wa Musa na mwana-kondoo. May the Lord guide the Remera SDA during these days of later rain. Lilian Meru Kenya

    ReplyDelete
  65. Poleni kwa waliobaki hoping to meet our brothers on that day of our Lord's 2nd coming. May the grace of our Lord be with you all. Amen

    ReplyDelete
  66. Poleni kwa waliobaki hoping to meet our brothers on that day of our Lord's 2nd coming. May the grace of our Lord be with you all. Amen. From Meru Kenya

    ReplyDelete
  67. I love you guys.The departed have done so while in God's service.Am sure their crown awaits them.BONNIE MUSAMBI-KENYA

    ReplyDelete
  68. jamaa na taifa na kusanyiko la SDA rwanda poleni kwa kuwapoteza wapendwa walioibeba habari mjema ya yesu japo naipata habari hii baada ya mda mrefu nasikitika moyoni lakini la muhimu nafasi hizo tatu zilizo achwa waimbaji waliosalia ombi langu ni kwamba muongezee bidii na muinue sauti mkijua mwaimba kwa niaba yenu na wapendwa waliotuacha hivo cheer up because your service for the lord is not in vein there's a big reward coming soon. tungalijua siku zetu zitakapo koma tungalimtumikia mungu kwa kujitoa kabisa na kwavile hatuijui siku twafaa kukaa macho.
    sammy koina, kenya

    ReplyDelete
  69. Jamani nasikitika sana ninaposoma habari hizi za kifo ya hawa mashujaa wa nyimbo za injili kwa ajali ya barabarani.Japo ni mwaka mmoja tangu kisa hicho,nachukua fursa hii kuwapeni pole zangu kwa wana Christ Ambassadors choir na familia ya Remera SDA kwa msiba huu.Mungu awape faraja za kipekee wanakwaya wote wa kwaya hii na familia ya kiadventisita tuzidi kuwaombea waendelee kuongoa roho zinamtafuta Mungu waweze kuguzwa na nyimbo zao.

    Evans Makori,Nairobi-Kenya.

    ReplyDelete
  70. Nahuzunika sana nikiwa hapa ofisini ninapozisoma ripoti hizi za ajali hii iliyoweza kuwaacha wengi na huzuni, lakini mungu hakosolewi. Kwaya hii imenibariki sana kwa nyimbo zao zenye ujumbe mzito, mungu awabariki sana. Ningependa kukutana nanyi angalau nibarikiwe zaidi. Niko nchini kenya, Meru na huku tunawapenda sana nyote licha ya kwamba tumetenganishwa na umbali, kiroho tuko pamoja. Niafute kwa FACEBOOK jina ni 'Shadrack Mwenda' tusemezane na pia tuvumilishane. Kwa wote mliopoteza wapendwa wenu pole sana na mungu awabariki.

    ReplyDelete
  71. Na huzunika sana na polene kwa wote walioachwa na wapendwa wao, Mungu awabariki.

    ReplyDelete
  72. Mtu mmoja alistaajabu sana niliposema nitamshukuru mungu baada ya majaribu mengi tuliyoyapata akili yangu ikampa wasiwasi kwa kweli nami ilinikarimu kulijulisha la ajali ile tungeweza kuangamia wote kwa pamoja pasipo mmoja hata wa kusimulia..............................................................................................................
    Nawapa pole kwa walio achwa na kumshukuru mungu kwa walioponea.

    ReplyDelete
  73. WE LOVE YOU SO DEARLY CHRIST'S AMB. YOU ARE A SUCH BLESSING TO MANY SOULS. MAY THE GOOD LORD ALWAYS CARRY YOU ON HIS WINGS. I AM REALLY PLANNING TO VISIT YOU WHEN I COME TO AFRICA.

    ReplyDelete
  74. from their song kwetu pazuri tiz like it was a premonition.for sure wako kwao pazuri.

    ReplyDelete
  75. Though am not from Rwanda and I dont even understand your language, your music inspire and comfort me. I have come fond of you and listern to your music quite often. It is sad to learn that some of you are no more. One of the question which may be asked is why? My brothers and sister be strong in the lord because soon we will find out when we meet our master Lord Jesus Christ. There are faces I have missed in new albums. Can it be possible to show their pictures in this forum? I would appreciate. May God be with you has you continue being ambassadors of our God. (Chapima Fabian - ZAMBIA)

    ReplyDelete
  76. Poleni, twasikitika, japo tuliwapenda, mungu ndiye aliyewapenda hata na zaidi na kuwakaribisha nyumbani pazuri. Kimwole G Kenya

    ReplyDelete
  77. nawaskitia sana,have courage my brothers and sisters for God had a reason as to y?..jackline from kenya

    ReplyDelete
  78. I just Love You all and pray for you Bernd Spindler SDA from Chicago!

    ReplyDelete
  79. HI,GUYS.I LOVE YOUR MUSIC SOOOOO MUCH.BUT,AM NOT THE ONLY ONE.ILKE I CAN SAY,THE MAJORITY OF ZAMBIANS LOVE YOUR MUSIC TOO.HOW I WISH U COULD VISIT US SOME DAY.WOUL BE VERY RECEIVE A REPLY FROM YOU. NDAWA HARRIET FROM LUSAKA,ZAMBIA.

    ReplyDelete
  80. God gives and God takes.He is the founder of the universe and everything in it.He promised us that He is going to prepare a place for us ( His Faithfuls). We are on a journey in this world. May God help us to fulfill His promises on earth. Petronillah - Kenya

    ReplyDelete
  81. Polemical sana waimbaji.

    ReplyDelete
  82. Napenda nyimbo zenu sana.Zinanicomffort. Nashukuru mungu kwa vile amewapa nguvu na mumeweza kumshukuru kwa yote. your songs and your simplicity inspires me. I thank God for you

    ReplyDelete
  83. Mungu pekee ndiye ajuaye mwisho Wetu, na makusudi yake ktk uhai Wetu. Tumtumikie mungu kwa uaminifu siku zote

    ReplyDelete
  84. Willad Nahashon from Kenya. Horratio Spafford knew the comfort that comes with leaning on God's shoulder in times of havoc and times of exhilaration,that's why he reminisces all that transpired in his life and ultimately he sits down and pens it to God telling Him IT IS WELL WITH MY SOUL. I love the revelation the remnant got in their song YATUPASA KUSHUKURU. may the Almighty strengthen you!

    ReplyDelete
  85. I really find it difficult to believe that Ephraim, Philbert and Amos are no more, it pains me each time I watch them singing so sweet in their recent albums. I just can't convince my mind believe it has happened, memories of them will always remain in my mind till we meet on that wonderful morning on that shining river. May GOD continue strengthening you brethren in these trying moments. Nevertheless continue praising the Lord in songs. I love you all but, GOD loves you more. Esther from Zambia.

    ReplyDelete
  86. August 20, 2013 at 4:50PM

    I Like you songs very much, they give me hope of live and encourages me all the time.I THANK GOD FOR YOU PEOPLE.

    ReplyDelete
  87. May they RIP....watching their video for the 1st time. I love it!

    ReplyDelete
  88. Satan killed 3 gospel preachers and from the song ''Ni kwa nini'' God called thousands to salvation. Satan will always loose in this great battle.

    ReplyDelete
  89. Halleluya ,kwanza kabisa nashukuru mola kwa nafasi hii ,pole sana kwa yote yaliowapata mnamo mwaka wa 2010 mwezi wa julai poleni ,poleni sana .kusema kweli nyimbo zenu hunibadilisha kila siku nikiapo zikiimba hata nami hutamani sana kufika mplipo lakini najua mungu anayo sababu.nawaombea ufanisi wa ajabu na msichoke kwa kufanya kazi mungu tie biidi sana .mimi ni mzaliwa wa kenya sehemu za magaribi nawapenda sana,ambassadars of christ choir barikiweni amen.


    ReplyDelete
  90. Ugly scars, healed wounds. Hezron Lanceth-Kenya

    ReplyDelete
  91. Ugly scars. Healed wounds. Hezron Lanceth,Kenya

    ReplyDelete
  92. Ugly scars, healed wound. Hezron Lanceth

    ReplyDelete
  93. May almighty God give them eternal life

    ReplyDelete
  94. poleni wanakwaya na wakristo wote kwakupoteza waimbaji hodari

    ReplyDelete
  95. Si Rwanda wenyewe walioomia, ni jamii nzima wapenz wa gospel.. Nikiwa kama mtanzania, nilivyosikia, nililia sana.. Mungu azilaze pema roho zao.. AMINA

    ReplyDelete
  96. POLEN SANA AFRICA NZIMA AND ABROAD

    ReplyDelete
  97. polen sana, Africa and those from abroad

    ReplyDelete
  98. Sad indeed! Even years later, you can still feel the loss oh so fresh! As much as questions are asked about this event, its still in line to give thanks to God in all situations as His word requires us to! God bless

    ReplyDelete
  99. Patient budagwa(Rdc)March 6, 2015 at 11:43 AM

    Poleni sana ndugu katika yesu, yote ya nao tufikiya tu mushukuru mungu, ila wenye ku baki wa jikaze na kumutumikiya mungu kwa bidii.

    ReplyDelete
  100. My condollence, I mis u & I will mis u a lot!! Nauzunika sana May their ,spirit rest in peace!! We loved u more. Pole dana

    ReplyDelete
  101. I was deeply sad, i can`t explain. your songs are the ones which made me to know Christ.we`ll remember always.God bless you those ones remaining.

    ReplyDelete
  102. It was sad,we are permanent in heaven but not on earth may the Lord Almighty rest their soul in eternal peace.

    ReplyDelete
  103. It is painful even now as I watch the album that was don't after the deaths. May God continuously bless you for your service.

    ReplyDelete