Loading...

Saturday, January 26, 2013

Ombi La Mtoto Lililowatoa Machozi Wakubwa

"Nilipofanya kazi Heri Hospital, kijana mmoja mkimbizi aitwaye Senvyiyumvywa (miaka 12) aliomba ombi ambalo sitalisahau. Pr Nkoko alinitafsiria kwa kiswahili, ‘Ee Mungu, sisi ni watoto wakorofi. Tu kama chawa kwenye blanketi lako. Ungeweza kutukung’uta na kututupilia mbali na hakuna ambaye angekulaumu….’ Mwisho wa ombi hili, kila mtu alikuwa akifuta machozi" - Rugera Wanjara

No comments:

Post a Comment