Loading...

Sunday, May 31, 2009

Salamu Kutoka Kanisani Kihesa Mjini Iringa

"Namshukuru Mungu kwa kuwa kaniwezesha kuabudu katika kanisa ]nililosali miaka sita iliyopita. It gave me some memories of those good old days of mine. It is called Kihesa SDA Church, situated at Mkimbizi hapa Iringa mujini. Nakumbuka hapa ndipo...aliponiona kwa mara ya kwanza... Have a glimpse of where I worshipped..." - Mgune Masatu
"Bwana akalizidisha kanisa kila siku kwa wale waliokuwa wakiokolewa" - Matendo ya Mitume 2: 47/And the Lord added to the church daily such as should be saved" - Acts 2: 27

2 comments:

  1. Mtumishi aliyekuona kwa mara ya kwanza ni nani?

    ReplyDelete
  2. Mtumishi nimefurahia hii japo ni post yako japo ni ya zamani. kwangu ni mpya kwani ndo naiona.

    ReplyDelete