Loading...

Saturday, May 7, 2011

SIKILIZA NYIMBO ZA KISABATO MTANDAONI

Tembelea blogu ya http://mtangazaji.blogspot.com/ usikilize moja kwa moja nyimbo za injili zinazoimbwa na vikundi na kwaya mbalimbali za Waadventista Wasabato!

11 comments:

 1. mbona pia nimeonaa kuna nyimbo ambazo hazikuimbwa na waadvendista

  ReplyDelete
 2. Labda ameziongeza siku hizi, kama sikosei za mwanzo zilikuwa ni za kwaya na vikundi vya Kiadventista

  ReplyDelete
 3. hongereni na muende mbal.

  ReplyDelete
 4. Nafarijika sana ninapoona Yesu anahubiriwa kwa watu wote.

  ReplyDelete
 5. ongera na MUNGU awabaliki kwani tunabalikiwa kupitia ujumbe wa nyimbo

  ReplyDelete
 6. Injili ya Bwana itahubiriwa dunian kote kuwa ushuhuda. Mungu awatie nguvu na tumaini katika siku hizi za mwisho.

  ReplyDelete
 7. To God be the glory maana nafarijika sana na nyimbo hizi hata nikiwa huku ughaibuni ujerumani.

  ReplyDelete
 8. Jamani Mungu ashukuriwe maana hata mimi na familia yangu tukiwa ughaibuni Ujerumani tunabarikiwa sana. Fredrick Chacha

  ReplyDelete
 9. jamani zile nyimbo zimekaa mda mrefu sana tunaomba mtubadilishie muweke nyingine.asanteni

  ReplyDelete
 10. nimefurahi sana kuona Yesu anahubiriwa na watu wengi wanabarikiwa.
  Mama Christian, Shinyanga

  ReplyDelete