Loading...

Sunday, September 25, 2011

Mkutano Mkubwa wa Neno la Mungu Sinza

Mhubiri: Mwinjilisti Roy

NENO KUU: MAISHA YENYE FURAHA, AMANI NA HAKI MILELE ZOTE YANAPATIKANAJE?

MAHALI: Uwanja wa Shule ya Msingi Mapambano — Sinza

LINI: TAREHE 25/09/2011 HADI TAREHE 15/10/2011

MUDA: SAA 09:30 - 12:00 JIONI

MIONGONI MWA MADA NI:

· Kwa nini Dunia imejaa maumivu na machungu mengi? Dawa yake ni nini?

· Dhambi mbaya isiyosameheka,

· Tunapokufa tunaenda wapi?

· Kifungo kirefu kuliko vyote duniani: Ni nani atakayetumikia na ni kwa muda gani?

· Njia bora kuliko zote ze utunzaji wa fedha na mali zako

· Masalia ya watu katika vita iliyo kuu na ndefu kuliko zote

PIA:

· Masomo ya Afya yatafundishwa

· Masomo ya Ndoa na Familia yatafundishwa

· Maswali mbalimbali yatajibiwa

· Wagonjwa na wenye shida wataombewa

Kwaya Mbalimbali Zitahudumu

Nyote Mnakaribishwa

1 comment:

  1. jeshi la watu wa Mungu vitani, ooh! how beautiful and majestic they look! you are doing a great work Man!

    ReplyDelete