Loading...

Wednesday, February 23, 2011

USHUHUDA: SIKU AMBAYO SITAISAHAU

Siku Ambayo Sitaisahau - Restieli Moses Mbwambo

Ni siku ambayo niliungua na mafuta wakati nilipokuwa mdogo wa umri wa mwaka mmoja na nusu. Ukweli ni kwamba nilisimuliwa na wazazi wangu jinsi tukio hilo lilivyotokea kwa kuwa mri wangu ulikuwa ni mdogo. Walinisimulia kuwa tukio hilo lilitokea hapo mnamo tarehe 17 Julai 2002, siku ya Jumatano jioni.

Siku hiyo mama yangu alikwenda kurekodi nyimbo zao za kwaya huko Arusha na baba alikwenda kanisani kuhudhuria ibada ya jioni katika kanisa lao la Njoro SDA lililopo hapa mjini Moshi, hivyo akaniacha na jirani ili aniangalie.
Wakati baba anananiacha na jirani yao...

No comments:

Post a Comment