Loading...

Friday, August 13, 2010

CD MPYA YA 'NENA MOYONI BWANA'!

Wasiliana na Judith Karangi ujipatie nakala yako:

+255 658 210 555
+255 786 210 555

1. Nena Moyoni Bwana
2. Dereva Wetu ni Yesu
3. Jaribu (Fungua Moyo)
4. Arise and Shine
5. Mapenzi ya Bwana
6. Mungu ni Mwema (Harusi - Duet)
7. Habari za Msalaba
8. Safari Yangu
9. Injili

4 comments:

 1. Praise the Lord!

  This is indeed a great achievement and with you we glorify the creator...Nasubiri urudi tufaidi hio kazi kwa kweli. Mimi nilizembea kidogo wakati wajoli wa chuo wanang'ang'ania huo mbaraka....Pia kuna ji wazo limenijia leo asubuhi, labda tutahabarishana sabato wakati sie wa chuo tukifaidi LIVE!!!

  ReplyDelete
 2. eeeeeeeeee jamani kutoka kwa wadada watatu hatime umeamua kusimama mwenyewe kwenye kizazi kipya cha injili jamani nakutakia mafanikio mema sana usife moyo mtu wa Mungu bwna anaona jitihada zako kwa kweli ubarikiwe
  Uweza nguvu vyote vya toka kwa Yesu
  ENOSY MANUSU

  ReplyDelete
 3. hujaolewaga tuuuu,au ni jina tu la kuitwa miss kwenye cover ya album?

  ReplyDelete
 4. Hongera kwa toleo lako jipya! Bwana akujalie neema yake ili atakapo onekana mawinguni namwe uonekane na uimbe ukinyoosha mikono hiyo kwamba huyu ndiye tuliye mngoja! Barkikiwa utoe DVD.

  ReplyDelete