Loading...

Monday, August 2, 2010

KARIBUNI KAMBINI MAGOMENI KANISANI!

WATU WA MATUMAINI - MAKAMBI 31 JULAI - 7 AGOSTI 2010

Salaam! Hatimaye Makambi ya Mtaa wa Magomeni 2010 yameanza. Wanenaji katika Makambi haya ni Dk. Jeffrey Brown kutoka Konferensi ya Bermuda, Mchungaji Jacob Gagi kutoka Konferensi ya Mashariki, Mchungaji Samuel Katengu kutoka Mtaa wa Dodoma na Mwinjilisti Errol Nembhard - akiongozana na Mkewe Mshauri Mtaalamu Paulette - kutoka Afrika Kusini.

MUHTASARI WA RATIBA YA JUMATATU 2 AGOSTI 2010

11:30 - 12:30 Alfajiri:
Maombi - Sheusi Mburi

2:00 -3:oo Asubuhi:
Mafundisho ya Uongozi - Mchungaji Gagi

3:00 -3:15 Asubuhi:
Nyimbo - Kwaya ya New Life

3:15-4:15 Asubuhi:
Mafundisho Makuu - Mchungaji Katengu

4:15 - 5:45: Kaya & Familia:-

Wanandoa - Errol Nembhard
Vijana/Wanafunzi - Mchungaji Katengu
Wajane/Wagane - Mchungaji Gagi
Makapera/Uchumba - Mchungaji Gagi

6:00 -7:00 Mchana:
Hubiri la Mchana - Mchungaji Gagi

8:00 -9:30 Alasiri :
Kaya na Familia - Kama Hapo Juu

9:30 - 10:00 Alasiri:
Idara ya Shule ya Sabato - Ndugu Mduma

10:00 -11:00 Jioni:
Mafundisho Makuu - Mchungaji Gagi

11:00 - 11:50 Jioni:
Kazi za Idara Mbalimbali - Mchungaji Katengu

12:00 - 1:00 Usiku:
Hubiri la Jioni - Mchungaji Gagi

1:00 -1: 30 Usiku:
Nyimbo - Kwaya ya Jangwani

1:30 - 2:00 Usiku:
Wazo la Usiku - Mchungaji Katengu

No comments:

Post a Comment