
Sabato hii (4 Septemba 2010) ni ‘Siku ya Kwaya Magomeni’. Kwaya ya Magomeni inahudumu katika ibada zote katika Kanisa la Waadventist Wasabato Magomeni na pia wameandaa vipindi vizuri vya mchana. Karibuni wote kwenye ibada ya sifa kwa njia ya nyimbo, pia karibuni mchana kuanzia saa 8:30 kwa ajili vya vipindi vilivyoandaliwa mahsusi kwa ajili ya siku hii.
ADDRESS/ANUANI
100 MKALAMA STREET/100 BARABARA YA MKALAMA
MAGOMENI MWEMBECHAI
No comments:
Post a Comment