Tuesday, May 8, 2012

Tovuti ya Kanisa la Waadventista Wasabato Tanzania

5 comments:

  1. Tunawapongeza kwa kazi njema mnayofanya. Napenda kushauri kuwa kazi inayofanyika kwa njia ya mtandao inakua kwa kasi na wengi wanabarikiwa lakini mengi zaidi yanapaswa kujumuishwa katika tovuti hii kwa ajili ya kuwafikia watu wengi zaidi, Kwa mfano Idara mbalimbali na huduma zao kwa jamii., malengo ya vyyama vyote na taasisi za kanisa, picha na video zinazoonesha kazi za vyama na taasisi za kanisa katika kufikia jamii za watu wenye shida n.k..
    Nashauri pia umuhimu wa kuwa na anuani barua pepe ya viongozi wakuu wa kanisa la waadventista Tanzania ili kuwa na nafasi ya kutoa mashauri ambayo yanaweza kuwa na mchango mkubwa. Wengi sana hawajui wala hawawezi kufikisha mawazo yao kwa njia ya kuongea mbele za watu lakini wanaweza kuandika na kutuma kwa njia ya barua pepe. Nawaombeeni utendaji mwema katika shamba la Bwana.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Wazo zuri sana Mtumishi#Umuhimu WA ANUANI BARUA PEPE za Viongozi.....Ubarikiwe Mtumishi

      Delete
  2. Ombi lang nikuhsu morning star tv kuweka kwnye vingamzi vyote ili injili ienee kila mahari.mbarikiwe

    ReplyDelete
  3. Nawasalimu katika jina la bwana wetu Yesu kristo. Nina swali naomba kusaidiwa majibu yake, waadvensta wasabato wanapooana wanavalishana pete?

    ReplyDelete
  4. Nashauri Makanisani tuchague WAHAZINI wenye taaluma husika na tuwepo na mfumo digital(ACCOUNTING SOFTWARE PACKAGE) wa kuratibu ukusanyaji Fedha hivyo kuweza kurahisisha swala zima la ukusanyaji wa Fedha kwa WAHAZINI wa makanisa yetu na CONFERENCE zetu kwa ujumla, Mfano ukusanyaji wa FEDHA za ZAKA na SADAKA.

    ReplyDelete