Loading...

Tuesday, May 8, 2012

Mtandao wa Maombi/Magomeni/Prayer Network1 comment:

 1. Shalom wapendwa naomba mshiriki pamoja nami,
  Kuanzia tarehe 1 June 2012 tunaanza maombi maalumu kwa ajili ya toba, amani, upendo na ustawi na kukua kwa kanisa Tanzania. Tunamkaribisha yeyote atakayeweza kushiriki nasi popote pale ulipo, atakayeweza kufunga atafunga, ni maombi ya mwezi mzima!

  Mistari ya kusimamia
  2 Wafalme 5: 16-17
  2 Nyakati 7: 14-18
  Nehemia 1: 4-6
  Nehemia 2: 4 na Nehemia 2: 7-8
  Nehemia 4: 7-8 na 1Timotheo 2: 1-6

  Mjipe moyo ndugu zetu wa Zanzibar, aliye ndani yetu ni mkuu kuliko wote!

  Mungu Ibariki na kuilinda Tanzania!

  Tafadhali mjulishe na mwingine

  ReplyDelete